Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau wa JF Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Jumanne Juni 01 amerejea Makao Makuu ya nchi Jijini...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
1> Philip Mangula Huyu kama ni umeme tungeita 'under ground cable' yaani unaona taa tu zinawaka lakini nyaya huzioni. 2> Abdulhman Kinana Huyu yupo makini sana na ndio huyu alizunguka nchi nzima...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa namna alivyopita katika tanuru la kisiasa na misukosuko yote ile, namuona Tundu Antipas Lissu akiachana kabisa na mambo ya siasa na kwenda kutoa ushuhuda wa yale Mungu amemtendea. Ni kwa neema...
4 Reactions
90 Replies
8K Views
Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
13 Reactions
116 Replies
14K Views
Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja. Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara. Taarifa rasmi...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Karibu afande Jumanne Muliro katika mkoa wetu wa Dar es salaam. Tunaelewa utumishi wako uliotukuka uliowezesha amani kutamalaki mkoani Mwanza. Ni imani yetu unatuletea amani katika mkoa wetu huu...
5 Reactions
56 Replies
15K Views
Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea. Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi...
20 Reactions
112 Replies
7K Views
Kuna swali nimejaribu kujiuliza kuhusiana na siasa zetu za Tanzania, mara nyingi vyama vimechukua hatua tofauti tofauti kwa wanachama wao. Lengo kuu la hatua hizo ni kudumisha nidhamu ya chama na...
0 Reactions
4 Replies
934 Views
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma mzee Muroto amesema jiji lake liko lipo shwari na wamejipanga vilivyo kuwalinda wageni wote wanaokuja kwenye sherehe za kuapishwa Rais Magufuli. RPC Muroto...
11 Reactions
57 Replies
5K Views
Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi...
15 Reactions
157 Replies
19K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira ameshutumu vikali kitendo kilichofanywa na vijana wahuni wanaodaiwa kukodiwa na kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Rais Mwinyi juzi alikuwa kwenye mkutano huko akazungumzia suala la kuagiza chanjo ya corona. Amefanya Jambo zuri kwa kuwa ameshauriwa hivyo na wataalam. Niweke wazi Mimi namkubali huyu raisi na...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Leo hii mwenyekiti wa maisha wa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ameanza kuzunguka nchi nzima eti kuimiza ujenzi wa ofisi za chama katika wilaya, makata na matawi, wakati...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Leo mkurugenzi wa JamiiForums amefanya mahojiano kwenye kipindi cha Clouds 360. Pamoja na mambo mengine ameongelea suala la hofu ya kuingia matatani na kusema ameshaingia mara kadhaa na haijawahi...
50 Reactions
72 Replies
7K Views
Mhe. Waziri Mkuu tunalojukumu lakukushirikisha wasemavyo Watumishi wa umma hasa waliopo wizarani na kwenye Idara za serikali, naamini ninachokiandika hapa unakifahamu ila najaribu kukirudia...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali imesema ni ukweli usiopingika kuwa maeneo mengi yenye magereza pamoja na majeshi yamekuwa na migogoro na wananchi wanaoishi jirani kuhusiana na umiliki wa ardhi. Waziri wa Mambo ya Ndani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesafiri Huko chunya mkoani Mbeya kibiashara mara kadhaa kibiashara, kuna mgodi mmoja unakusanya dhahabu balaa lakini hauna impact yoyote kwenye hii nchi. Naomba kuuliza, sio kwa kuusemea ila...
12 Reactions
66 Replies
11K Views
Binadamu wana tabia ya kinafiki sana, wanacheka na wewe na kukushauri Kisha wanautoa ushauri wao nje kwenda kukuangamiza. Tangu aingie mama Samia suluhu uvujaji wa Taarifa umepungua Jambo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeangalia kwa upana makosa au tuhuma zilizoibuliwa na wananchi dhidi ya Sabaya, nyingi ya tuhuma zinaangukia Polisi isipokuwa tuhuma za Mali na fedha ndo zinaangukia TAKUKURU. Kinachonishangaza...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom