Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huwa napenda kupitia kwenye mitandao ya kijamii kuona namna gani waTanzania wanamchukuliaje Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Jicho langu limeona, Rais Samia anasupport kubwa katika mtandao wa...
19 Reactions
44 Replies
4K Views
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa. Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu...
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo kimetoa kadi za wanachama za aina Nne tofauti na zikiwa na package ms tofauti. ~Zipo za kulipia 100k kwa mwaka ~Zipo za 50k kwa mwaka ~Za 10k kwa mwaka ~Na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
NAWAZA TU: Kuna vitu Nimeshindwa kuelewa kuhusu Wema Sepetu hivi mtu anayeonekana mashuhuri tena mwenye wafuasi Wengi,Kwanini press conference afanyie nyumbani kwao na siyo ofisi ya Chama walau...
11 Reactions
79 Replies
11K Views
Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Da'slama imeeleza kuwa Rais wa JMT amefanya uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Mikoa, amewahamisha wengine na baadhi kuwabakisha katika vituo vyao vya kazi. Kwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huu Mheshimiwa Paul Makonda "Bashite" Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa Sisi wananchi wa Dar...
13 Reactions
69 Replies
7K Views
Habari wadau! Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji...
18 Reactions
121 Replies
13K Views
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amekutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga Mazungumzo hayo muhimu yamefanyika leo Aprili...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Juzi jioni bila kutarajia niliwakuta hawa wazee mtaa wa Tandamti ndo wanafunga biashara mapema saa 10. Nawauliza imekuwaje? wakanambia kuna kikao cha dharura. Nikawauliza kuna nini? Msafisha...
20 Reactions
163 Replies
19K Views
Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Tume hiyo ilikuja na...
10 Reactions
78 Replies
6K Views
Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka. Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanabodi. Japo siungi mkono kufurahia kishika uchumba cha dola milioni 300 kutoka kwa mtu anayedaiwa mahari ya huyo mchumba, lakini kwa nchi yangu Tanzania, as poor as we are, as a results we are...
5 Reactions
72 Replies
9K Views
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ni jasiri sana kuwanyooshea vidole viongozi wazembe na wasiojielewa huku akitumia maneno makali bila woga muda wowote wanapomkera au wanapofanya ndivyo sivyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeona taarifa kwamba unataka uwapange wamachinga. Ni kitu kizuri Sana na kinatakiwa kiungwe mkono na kila mtu. Ushauri wangu; Usitumie maneno ya mitandao kufanya Jambo hili. Tumia mda wako wote...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Zile fidia ulizowaelekeza TARURA-DMDP Kinondoni kwa ajili ya wakazi wa Sinza wawe wamelipa mpakaJumatatu ilopita 31/5/21 mpaka leo hii hizo pesa za fidia hawajalipa. Mkuu fuatilia hawa watu hapa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Akiwa Bungeni mkoani Dodoma, Mbunge Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza Waziri wa Nishati kwa Kazi kubwa anayoifanya na kushangazwa na sintafahamu iliyotokea kwenye mfumo wa Luku na kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, Kila nipatapo fursa ya kujadili maendeleo yetu na nchi yetu, kupitia makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi kuhusu mustakabali wa taifa letu Tanzania, leo...
13 Reactions
50 Replies
4K Views
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom