SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,040
- 8,895
Alipokuwa Waziri wa fedha:
1. Alikuwa anachukua fedha za mazingira na kufanyia mambo mengine au kuzizuia kwa utashi binafsi yeye na Doto. Mh. Rais kalisema leo wakati wa uapisho wa maRAS.
2. Alitoa takwimu za uongo kuwa uchumi unakuwa kwa 7% kumbe ni 4%.
3. Kuna baadhi ya Wizara alikuwa anazipa chini ya 10% ya bajeti iliyopitishwa na bunge.
4. Unyang'anyi wa fedha za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni.
5. Kumpotosha marehemu kuhusu mambo ya uchumi kwa makusudi kabisa. Mfano ununuzi wa ndege na miradi inayokula fedha ila haina faida yoyote.
N.k