Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona wameingia mitini na ile kasi waliyoingia nayo sasa imepotea kabisa, tunaemuona ni Rais Samia na Waziri Mkuu kunani hizi ziara zilitakiwa kufanywa na mawaziri au mmenuna kwa kuwa kuna jicho...
1 Reactions
2 Replies
776 Views
Amepokelewa na Bavicha Mkoa Wa Mwanza , ambapo taarifa zinaonyesha kwamba Mkakati wa Operesheni Haki utakuwa Kanda hiyo kwa muda wa siku 3 , Kuanzia Juni mosi mpaka Juni tatu . Mungu ibariki...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli" Ndugu @DrHmwinyi Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM Mjumbe wa...
5 Reactions
93 Replies
7K Views
Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen Amesema...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Rais Samia amesema Rais hafanyi makosa katika kuteua kutoka wafuasi wa vyama vya upinzani. Rais Samia amesema kuna wakati wakuu wa wilaya pale Kilimanjaro walikuwa wanamsumbua mama Mghwira kwa...
13 Reactions
37 Replies
6K Views
Kila mmoja sasa anajua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais wa Mwendazake Hayati Dr. John Pombe Magufuli. Tunajua pia kuwa Rais Samia alichaguliwa kwa kura zilezile za Mwendazake...
17 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu...
13 Reactions
119 Replies
15K Views
Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imemrejesha kujenga upya barabara ya Makurugusi kwenda Musasa wilayani Chato yenye urefu wa Kilometa moja na nusu kwa gharama zake baada ya...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya...
6 Reactions
178 Replies
16K Views
Happy Monday! Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate. Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa. Mimi nimechanjwa...
14 Reactions
116 Replies
11K Views
Katika kipindi cha Awamu ya Tano ya Mwendazake, Rais Magufuli wananchi tulielezwa nchi yetu ipo kwenye vita vya kiuchumi haswa na nchi zilizoendelea [Mabeberu}. Kwenye ugonjwa wa COVID-19...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Siasa za bongo haziishi vituko,leo wafuasi kindakindaki wa Chadema wametumpilia mbali Lissu wameamua kumpambania Manji. Ama kweli msemo wetu waswahili ya kwamba "ajizi nyumba ya...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi. Juzi Kati Tanesco walipata matatizo...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu...
51 Reactions
205 Replies
13K Views
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo...
9 Reactions
179 Replies
21K Views
Sisi sote ni Wazanzibari licha ya tofauti zetu, na hapa ndiyo kwetu – Othman Masoud Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha. Amefanya hivyo ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya Fedha...
24 Reactions
386 Replies
37K Views
Waacheni CCM waseme usiku watalala huku upinzani hakuna kulala; tunafahamu Samia hagombei, hili halina utata anawaachia Watanganyika zigo lao. Timu zilizopo CCM ni nyingi na kila moja ina mtu...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Kwanza kabisa mtambue kuwa mnatumia kodi za Watanzania kufanya shughuli zenu. Kwa hiyo kufanya maigizo yasiyo na kichwa wala miguu sio jambo jema. Sakata la Mbowe kujilipa bil 8 liliwekwa wazi na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajuzi wajaribu kuelewesha mama leo akiwaapisha ma-RAS na viongozi wengine ameshauri kuwa tusing'ang'ane na sheria tu hadi hata kama mtu amekuja na mtaji wake anashindwa eti kwa kuwa sheria...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom