Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Momba, tena wa chama chetu cha CCM, amedhalilishwa Bungeni. Ametolewa nje ya Bunge kwa aibu kuu akiambiwa kuwa 'hajavaa vizuri'. Amri ya kutolewa nje kwa mwanamama huyo Mbunge wa Momba...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania ni Nchi inayoongozwa na wanadamu ambao wameumbwa na Mungu na wanapata nguvu ya kuongoza na kutawala kutoka kwa mwenyezi Mungu aliyewaumba. Hii bila ubishi wala majivuno wala matambo...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Health Ministry hit by new procurement query -This time it's over purchase of luxury Land Cruiser for the minister THE Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) has discovered widespread...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Nimesoma CV ya huyu dada nimeona kuwa amewahi kuwa IT consultant wa UN Arusha na Wa AICC. Pia niliona akitoa mchango kuhusu Cryptocurrency na amewahi kuwa koch wa Cryptocurrency. Pia an akili ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba nikiri wazi kwamba mimi sipendi CCM na wanachama wake, akiwemo Yusuph Manji. Lakini bado ninayo ile huruma na aibu ambayo Mwenyezi Mungu amemtilia mwanadamu mwilini mwake. Hivyo basi...
17 Reactions
107 Replies
12K Views
Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema. Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Wanasaikolojia wanasema "kama huwawezi jiunge nao" Lissu ana mawili tu aidha aachane na Siasa au ajiunge CCM. Sioni ule muunganiko na maelewano yake na Mwenyekiti ndugu Mbowe japo...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Tukemee ukabila na magenge ya ukabila na uchato yanayoibukia nchini, Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini. Nimeumia zaidi kuona viongozi wa dini wanavyosifia serikali...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa hali Kisiasa ilivyo, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinatakiwa kifanye Mambo yafuatayo ili kiweze KUSIMAMA na kurejesha ushawishi wake Kama ilivyokuwa kabla 2015. 1. Achaneni na Magufuli...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
CCM ya leo sio ile tuliyoizoea. Leo ndani ya CCM kuna teams (au Magenge) yanalana yenyewe kwa yenyewe. Kama ni mnyonge utabakia kupiga makofi tu hata mle bungeni ila ukinyoosha kidole na...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri Mkuu aliiibua matumizi mabaya ya fedha za Umma katika Wizara ya fedha. Kiasi cha shilingi Bilioni 2 na ushee, zililipwa ndani ya watumishi wa Wizara husika isivyo halali. Waziri aliagiza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke. Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika...
8 Reactions
95 Replies
10K Views
Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki. Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu? Je, ni huruma sababu alipigwa risasi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nelson Mandela also visited Tanzania in 1962, staying with the late minister Nsilo Swai, whose wife, Vicky Nsilo Swai, told the BBC about his left luggage: "On the day Mandela was leaving, he...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Chato kuwa mkoa haijakaa vyema. Hii ilipaswa kuachwa kama wilaya ndani ya mkoa wa Geita. Kwanini chato iwe mkoa kutoka kwenye mkoa mchanga wa Geita? Ikumbukwe Geita ilitengwa kua Mkoa mwaka 2010...
10 Reactions
176 Replies
16K Views
Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kuzisaidia Timu zetu za Taifa zinapokwenda kuwakilisha nchi. Ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya...
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi...
2 Reactions
1 Replies
870 Views
Miezi michache alisimama mbele ya Bunge akidai kuwa CHADEMA kuna mfumo dume na kwamba yeye "anawaonea huruma na kuwaheshimu sana wanawake" Leo hii, Spika yule yule, tena kwa udhalilishaji wa hali...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameitaka Serikali iache kutoa visingizio ambavyo havina msingi kuwa malori ya kampuni ya Dangote yanaharibu barabara za mikoa ya Lindi na Mtwara. Amesema...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
CUTHBERT SWAI NDANI YA MTEGO WA LEMA NA MBOWE Nitangulize kusema kuwa Mimi nimekuwa ndani ya Chadema kwa Miaka Mingi sana, Nimeshiriki katika Ujenzi wa Chama na kusimamia operesheni kadhaa za...
12 Reactions
194 Replies
19K Views
Back
Top Bottom