Katika hali ya kawaida watanzania wanafikishwa mahali pabaya na utawala wa CCM. Kuibinya demokrasia kwenye taifa kunasababisha taifa kupata raia wakakamavu sana bila sababu.
Utawala wa makaburu...
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.
Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai...
Waziri Ummy: Tegemeeni makubwa ujenzi wa barabara za vijijini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Ummy Mwalimu amesema dhamira ya dhati ya Serikali ya awamu ya...
Mheshimiwa rais, waheshimiwa mawaziri wa TAMISEMI na biashara, mheshimiwa mkuu wa mkoa pamoja na mkurugenzi wa jiji la Arusha, itifaki imezingatiwa.
Sisi wafanyibiashara katika vibanda vilivyopo...
Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani.
Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly...
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametembelea Mradi wa Matengenezo ya sehemu Korofi katika Barabara ya Katoro-Kyamulaile-Kashaba(Kilometa 5)na...
Mkutano Mkuu @ACTwazalendo
⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa
⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama
⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama
⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili...
O
Hai DC, tumeleta milioni 50 kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Chemka.Ujenzi umeanzishwa kwa nguvu za wananchi. Sijaridhika na matumizi ya fedha tulizoleta.
Wananchi wanasema jengo hili...
Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali.
Baadhi ya...
Heshima kwenu mkuu,
Leo rais Magufuli amezindua Mradi wa Maji wa Ruvu. Katika Hotuba yake, amemtaka Mtendaji mkuu wa DAWASA kujistaafisha kama vipi atatumika kwenye kazi nyingine. Mutalemwa kwa...
8~1~2020.
Ndani ya mji wa Tunduma,
Katika kanisa la Mch mwakabenga lililo kata ya MAKAMBINI tulikutana viongozi wa chama cha Mapinduzi (ccm) wilaya ya Momba Pamoja na wenyeviti wa mitaa yote 71...
Huu mwenendo hautusaidii Watanzania. Na umeletwa na CCM kwa sababu zao za kutaka fikra ziwe kwenye uchaguzi tuu.
Inakuwaje kila jambo jema linalofanywa na Serikali hii ya CCM sifa anapewa Rais na...
Jenerali Ulimwengu akiwa kwenye kongamano la kigoda cha mwalimu Nyerere chuo kikuu cha Dar es Salaam, amesema pamoja na hatua nzuri anazochukua Rais wa sasa, Mheshimiwa John Magufuli ambazo...
Waziri Mkuu mh Majaliwa amesema bara la Afrika kwa sasa linapambana na wimbi la 4 la covid 19 hivyo watanzania tuendelee kuchukua tahadhari.
Majaliwa amesema hadi sasa watanzania 725 wameripotiwa...
Kuna baadhi ya watu,hasa Watu wa CCM, mara baada ya Mbowe kutekwa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi kwa sababu tu kadai katiba mpya walisikika wakisema,Mbowe acha akome, kwa sababu miaka yote...
Ukiwa mwana CCM utaishi kwa Raha sana, maana yake ni kwamba, hutaweza kuhisi maumivu yoyote ya maisha.
Kila baya kwako litakuwa ni zuri tu, na kila zuri kwako ni zuri tu, kifupi ni kwamba...