CCM wafanya mkutano ndani ya kanisa Tunduma. Ingekuwa ACT/ CUF/ CHADEMA wamefanya kanisani au msikitini ingekuwaje?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1578590281822.jpg
FB_IMG_1578590274697.jpg

8~1~2020.
Ndani ya mji wa Tunduma,
Katika kanisa la Mch mwakabenga lililo kata ya MAKAMBINI tulikutana viongozi wa chama cha Mapinduzi (ccm) wilaya ya Momba Pamoja na wenyeviti wa mitaa yote 71, watumishi mbali mbali wa serikali wakiongozwa wakiongozwa na Mhe mkuu wa wilaya Ndg. Jumaa Said Irando ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa chama na serikali yake kukutana.

Pia chama cha Mapinduzi (w) Momba Tunamshukuru Baba Mch mwakabenga kwa hutubayake nzuri na ametufundisha kuto hofu ktk kufanya kazi za kuwatumikia wananchi akisema viongozi wote wametoka kwa Mungu, na Mungu ametupa upanga hivyo tutumie upanga huo kukata waovu, wavizu, wachongamishi, wasio itambua serikali tukate tuu! Nandio kazi ya upanga, ispokua upanga usiwaguse watu wema. WARUMI 13 (1-5).
 
Hapo ni sehemu ya huduma ya maombezi tu siyo kanisa maana kanisa haliwezi kuruhusu hicho kilichofanyika kifanyike
 
Wenzio wamekodi ukumbi
Huyo DC Mwislam ameeenda kulinajisi kanisa. Anagekuwa Mkristu Waislam wangekubali kikao cha CCM kikafanyike msikitini huku makafiri wakiingia na viatu vyao?

Nalaani huu uchanganyaji wa dini na siasa unaofanywa na maccm
 
View attachment 1317511View attachment 1317515

8~1~2020.
Ndani ya mji wa Tunduma,
Katika kanisa la Mch mwakabenga lililo kata ya MAKAMBINI tulikutana viongozi wa chama cha Mapinduzi (ccm) wilaya ya Momba Pamoja na wenyeviti wa mitaa yote 71, watumishi mbali mbali wa serikali wakiongozwa wakiongozwa na Mhe mkuu wa wilaya Ndg. Jumaa Said Irando ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa chama na serikali yake kukutana.

Pia chama cha Mapinduzi (w) Momba Tunamshukuru Baba Mch mwakabenga kwa hutubayake nzuri na ametufundisha kuto hofu ktk kufanya kazi za kuwatumikia wananchi akisema viongozi wote wametoka kwa Mungu, na Mungu ametupa upanga hivyo tutumie upanga huo kukata waovu, wavizu, wachongamishi, wasio itambua serikali tukate tuu! Nandio kazi ya upanga, ispokua upanga usiwaguse watu wema. WARUMI 13 (1-5).
Nanyi kafanyieni msikitini shida iko wapi simna uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom