Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"

DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI AU MAPINDUZI YA KIJESHI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

IMG-20211115-WA0018.jpg

11-1.jpg
 
Rais mjanja sana, kwa hiyo picha wale jamaa wa sukumagang wanashangilia, halafu akitoka hapo anaenda kuingiza chaguo la msoga kwenye system, hapo anakuwa ameyalainisha makundi yote chamani kwake akiwa kama mwenyekiti wao.

Balaa linabakia kwa wapinzani, ni mwendo wa kuwabambikia kesi na kupeleka mahakamani mashahidi vihiyo wasiojua hata kukariri wanayoambiwa.
 
Back
Top Bottom