Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu heshima kwenu. Naomba nilete huu Uzi Na iwe kumbukumbu wakati Wa uchaguzi ujao. Nape Moses atakuwa center ya mashambulizi muhimu sana dhidi ya chama tawala na serikali ya JPM. Kwa Sasa...
16 Reactions
87 Replies
12K Views
Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye. -Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD. -Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD -Awamu ya tano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nawasabahi.Katiba iliyopo ni katiba iliyoandaliwa na makada wa CCM kutoka tanzania bara Tanganyika na Zanzibar kila upande ukiwa na wajumbe wasiozidi 10. Wajumbe hao walijifungia na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau walia kila kona vifurushi kupanda maradufu tena kimya kimya 👉 Tasnia ya habari Mitandaoni, elimu, Dini, Burudani waathirika pakubwa Kutokana na kupanda maradufu kwa bei za vifurushi vya...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa kuanzia naomba kuchukua fursa hii, kuwapongeza CCM kwa mkutano wao mkuu ambao tumepata fursa ya kuungalia live kupitia runinga. Nimeguswa sana na kauli hii ya Mwenyekiti wa CCM...
23 Reactions
275 Replies
42K Views
Kwanza nimeona kabisa Mara tatu mfululizo akinakibatala wanadondokea pia kwenye maamuzi hayo. Kuna mazingira ambayo lazma wayasome. Kwenye mapingamizi yao ikitokea upungufu ata punje lazma...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Imagine kiongozi wa kisiasa (wakati wa magufuli) anaamrisha wizi wa kura hapa ni kuvijaribu vyombo vya ulinzi na usalama vilinde dhuluma. Rejea uchaguzi wa 2020. The states security apparatus were...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Kesi ya Mbowe imekuja na mengi. Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena: Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi. Ikaja kuzuiliwa kuingia...
18 Reactions
62 Replies
6K Views
Na sasa Zanzibar inatajwa kuliko nchi yeyote ile hapa Afrika na ni baada ya kutokea Rais Mwanamke ambae ni kutokea Zanzibar,msema kweli mpenzi wa Mungu ,Raisi Samia amelipaisha jina la Zanzibar...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"...
20 Reactions
256 Replies
17K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda kamati itakayosimamia fedha ya COVID-19 iliyotolewa na IMF jumla ya tsh 1.3 trillion. Mwenyekiti ni mh Jenister Mhagama. Wajumbe ni Dr Ndumbaro, Mh Ummy Mwalimu...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za...
10 Reactions
361 Replies
33K Views
Ukiona mwanamke unampa pesa za matumizi ya watoto na ndugu zako halafu anaenda kwa watoto anawambia yeye ndio anaye wapenda sana na ndiye anayetoa pesa za matumizi, mkeo huyo mkimbie na tena...
4 Reactions
3 Replies
947 Views
Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu. Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi...
19 Reactions
61 Replies
4K Views
Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa. Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred...
23 Reactions
314 Replies
29K Views
Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama hizo ndizo fikra zenu/zetu ni wazi tunajidanganya. CCM ni mchwa uliozoea kula vinono kupitia mapungufu ya Taasisi tajwa hapo juu.CCM na watu wake kamwe hawawezi kakubali kuanzishwa kwa...
2 Reactions
19 Replies
985 Views
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea...
46 Reactions
188 Replies
16K Views
Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom