Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.

Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.

Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
 
Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.
Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
Mkapa hakuwahi kufanya mahojiano na mwandishi mzawa? Alikuwa anawadharau waandishi wa nchini kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom