Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kangi Lugola akiwa waziri wa mambo ya ndani alitumbuliwa na hayati rais Magufuli kwa kosa la kuingilia kazi ya waziri wa fedha Dk Mpango kwenda kukopa nje. Kwenye serikali ya awamu ya tano...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV ni kwamba mawakili wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe wameshinda pingamizi lao ila kwa sababu hawakuonyesha wataathirika vipi hati...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Bajeti Waziri wa Fedha hubeba kila kitu na kuwa itakuwa financed vipi Nimegundua Kuna Shida Mfano Nape anasema ohhh si mlisema Serikali mambo yote mnafanya kwa hell za ndani? Hivi kipindi Cha...
10 Reactions
75 Replies
4K Views
Huko siku za nyuma, halikuwa jambo la kawaida mtu kubambikiwa kesi, tena kesi kubwa ambazo hazina dhamana, kesi za ugaidi, uhujumu uchumi, utakatishaji fedha haramu na ufanyaji biashara ya madawa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA IN THE DISTRICT REGISTRY AT MWANZA MISCELLANEOUS CIVIL APPLICATION NO. 152 OF 2019 (Arising from PC Civil Appeal No. 37 of 2018 which originated from Bupandwa...
11 Reactions
89 Replies
8K Views
Kwa mfano katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kila siku tunaonyeshwa Mbowe na watuhumiwa wenzake wakisalimiana na Wakili Kibatala kisha tunaonyeshwa karandinga la magereza mwisho...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
MaDC na MaRC ndio watawala katika maeneo yao ya kazi kwa niaba ya Rais/Serikali na sio mwenyekiti wa chama na ndio maana wapo kwenye payroll ya serikali na ndio Wenyeviti wa Ulinzi na Usalama wa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
"Pls ninaomba huu uzi wangu usifutwe au kuunganisha, manake siku hizi JF hamnipendi nyuzi zangu nyingi mnazifreeze! WHY?" Mwaka huu Benki zimeambiwa zipunguze riba kwa kuwaneemesha wakulima (Rais...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii inaitwa Mwaga ugali sie twamaga Mboga: hii ni dhahiri CCM ilipita kwa bao la mkono ndio maana mtawala mkuu hajiamini kabisa. Kawa Nape akisema ya ndani ni wazi yanayosemwa yanaukweli mkubwa...
12 Reactions
101 Replies
14K Views
Hii ndio hali halisi ya shule ya msingi Jitihada iliyoko kata ya Mkuza , Kibaha Mjini , ambapo bila jitihada binafsi mwalimu hutapata kiti cha kukalia kwa muda wote . Hayo yamebainishwa na Mwl...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
KAMA JPM ALIKULA MKOPO NA KUWAFUMBUA MACHO WATANZANIA,BASI TUWAACHE WATANZANIA WAAMUE. Fuatana nami👇👇👇 Rais John Pombe Magufuli alitutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko...
11 Reactions
88 Replies
7K Views
Mara kwa Mara nimesikia matamko ya Spika akiwa kwenye ufalme wa kiti chake. Kuna mambo mengine sioni kama anastahili/kulazimika kujibiajibia hata masela kwenye mitandao. Muundo wa Watendaji wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Friends and Our Enemies... Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama...
40 Reactions
201 Replies
15K Views
IGP Simon Sirro amemshukuru Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia fedha kiasi cha tsh 1.4 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa. IGP Sirro amesema kwa sasa ujenzi unasuasua kidogo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesoma mahojiano ya Membe na gazeti la Jamuhuri ,Membe kamlaumu sana hayati Magufuli,akijua marehemu hawezi jitetea. Hii kwa wenye utimamu wa akili ni rubbish kabisa. Kwangu mimi Membe ni...
13 Reactions
63 Replies
4K Views
Sio siri CCM ndio ipo madarakani,iwe kihalali ama sio kihalia lakini ndio ipo madarakani. CCM ndio inayounda selikali, Ndio inayo unda Bunge na ndio inayoweaka majaji. Ndani ya serikali kuna...
1 Reactions
2 Replies
663 Views
Dawa ya Kangomba ni kubadili mfumo wa malipo ya Korosho kwa wakulima, kwa kuviwezesha Vyama vya Ushirika kupitia TADB kulipa sehemu ya malipo Mara tu korosho inapofika ghalani. Hichi...
23 Reactions
97 Replies
17K Views
Wadau hebu tujaribu kuvuta taswira ya uchaguzi ujao Wa mwaka 2020 kati ya makada hawa wawili ndani ya CCM. Najaribu tuu kujiuliza je? JPM atampitisha Mh. Nape kugombea kupitia jimbo la Mtama Kama...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom