CCM yaipongeza TARURA Kagera

UGANDA

Member
Jul 24, 2017
71
75
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametembelea Mradi wa Matengenezo ya sehemu Korofi katika Barabara ya Katoro-Kyamulaile-Kashaba(Kilometa 5)na Izimbya- Katokoro(Kilometa 3.8) unaosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).

Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya Bukoba Eng. Maziku A. T. akisoma taarifa mbele ya Mwenezi CCM Taifa amesema
"Lengo kubwa la Mradi huu ni kurudisha Mawasiliano katika Kata hizi na Maeneo ya jirani ambapo wananchi walilazimika kutumia usafiri wa Mitumbwi katika kuendesha Shughuli za Kiuchumi na Kijamii"

Akizungumza baada ya Kutembelea Mradi huo Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA chini ya Mtendaji Mkuu wa TARURA Eng Victor Seff kwa namna inatekeleza kwa Vitendo Ilani ya CCM na Maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

"Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 imeelekeza katika kipindi cha miaka 5 hii inaenda kuimarisha TARURA na tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kipindi kifupi TARURA imeongezewa Bajeti kutoka Sh bilioni 273 mpaka Sh bilioni 966 kwa mwaka wa fedha 2021/22." SHAKA

" Na Wote ni mashahidi TARURA kwa sasa wanafanya kazi nzuri na kuongezewa kwao bajeti na wataalamu ni imani yetu watafanya kazi nzuri zaidi ya hizi, tunawatia moyo endeleeni na Chama kinaunga mkono juhudi hizi" SHAKA

Mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi Rumanyika Investment Co. Ltd kwa gharama ya zaidi ya Milioni 519,573,220.00 ambaye ameishatekeleza na kumaliza kazi kwa asilimia 98 na mradi umeanza kutumika kwa kutoa huduma kwa wananchi.

IMG_20211114_224749_800.jpg
IMG_20211114_224749_762.jpg
 
Kama mimi ndio Mkuu wa kampuni ya ujenzi namtimua huyo nguchiro anaetokea CCM maana ninadili na Serikali ya Tanzania sio chama cha siasa,CCM wacheni kujipenyeza,kama ni miradi au sijui mnaita Ilani basi shughulikianeni huko kwenye Chama chenu, sio mnazivamia kampuni zinazodili na Serikali,mnavuka mipaka mambo mengine hayawahusu nyinyi kama chama,yaani ningewatimua vibaya sana na kama haitoshi ningewafungulia mashitaka..
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametembelea Mradi wa Matengenezo ya sehemu Korofi katika Barabara ya Katoro-Kyamulaile-Kashaba(Kilometa 5)na Izimbya- Katokoro(Kilometa 3.8) unaosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).

Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya Bukoba Eng. Maziku A. T. akisoma taarifa mbele ya Mwenezi CCM Taifa amesema
"Lengo kubwa la Mradi huu ni kurudisha Mawasiliano katika Kata hizi na Maeneo ya jirani ambapo wananchi walilazimika kutumia usafiri wa Mitumbwi katika kuendesha Shughuli za Kiuchumi na Kijamii"

Akizungumza baada ya Kutembelea Mradi huo Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA chini ya Mtendaji Mkuu wa TARURA Eng Victor Seff kwa namna inatekeleza kwa Vitendo Ilani ya CCM na Maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

"Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 imeelekeza katika kipindi cha miaka 5 hii inaenda kuimarisha TARURA na tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kipindi kifupi TARURA imeongezewa Bajeti kutoka Sh bilioni 273 mpaka Sh bilioni 966 kwa mwaka wa fedha 2021/22." SHAKA

" Na Wote ni mashahidi TARURA kwa sasa wanafanya kazi nzuri na kuongezewa kwao bajeti na wataalamu ni imani yetu watafanya kazi nzuri zaidi ya hizi, tunawatia moyo endeleeni na Chama kinaunga mkono juhudi hizi" SHAKA

Mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi Rumanyika Investment Co. Ltd kwa gharama ya zaidi ya Milioni 519,573,220.00 ambaye ameishatekeleza na kumaliza kazi kwa asilimia 98 na mradi umeanza kutumika kwa kutoa huduma kwa wananchi.

View attachment 2010681View attachment 2010682
Kazi iendelee
 
Chama kina wajibu wakukagua miradi kwa kuongozwa na kamati zao za eneo husika.
Mapungufu na mazuri yawe kwenye majumuisho nakupeleka kwa wizara husika kwa tamko.

Huo mfumo wa mhandisi kuhojiwa nakupewa makaripio na viongozi wa chama nikuwashushia heshima watumishi wa serikali.
Thus why kunakuwa na makundi kwenye chama
 
WeWe CHADEMA usitufundishe
 
Upumbavu mtupu, mnashangilia barabara ya vumbi? Na libunge lenu lipo hapo LinaPiga Makofi !
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametembelea Mradi wa Matengenezo ya sehemu Korofi katika Barabara ya Katoro-Kyamulaile-Kashaba(Kilometa 5)na Izimbya- Katokoro(Kilometa 3.8) unaosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).

Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya Bukoba Eng. Maziku A. T. akisoma taarifa mbele ya Mwenezi CCM Taifa amesema
"Lengo kubwa la Mradi huu ni kurudisha Mawasiliano katika Kata hizi na Maeneo ya jirani ambapo wananchi walilazimika kutumia usafiri wa Mitumbwi katika kuendesha Shughuli za Kiuchumi na Kijamii"

Akizungumza baada ya Kutembelea Mradi huo Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA chini ya Mtendaji Mkuu wa TARURA Eng Victor Seff kwa namna inatekeleza kwa Vitendo Ilani ya CCM na Maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

"Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 imeelekeza katika kipindi cha miaka 5 hii inaenda kuimarisha TARURA na tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kipindi kifupi TARURA imeongezewa Bajeti kutoka Sh bilioni 273 mpaka Sh bilioni 966 kwa mwaka wa fedha 2021/22." SHAKA

" Na Wote ni mashahidi TARURA kwa sasa wanafanya kazi nzuri na kuongezewa kwao bajeti na wataalamu ni imani yetu watafanya kazi nzuri zaidi ya hizi, tunawatia moyo endeleeni na Chama kinaunga mkono juhudi hizi" SHAKA

Mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi Rumanyika Investment Co. Ltd kwa gharama ya zaidi ya Milioni 519,573,220.00 ambaye ameishatekeleza na kumaliza kazi kwa asilimia 98 na mradi umeanza kutumika kwa kutoa huduma kwa wananchi.

View attachment 2010681View attachment 2010682
Mkuu Shaka kazi iendelee
 
Back
Top Bottom