Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete kuweni makini na Magufuli

images (6).jpeg
 
Uelewi chochote kuhusu ccm, bora ukae kimya, kwani ccm ilianza kumfukuza Camillius tu au kipindi cha awamu ya tano?

Mlimisifia sana kwamba awezi kuhojiwa mbele ya kamati mkadiriki kusema awezi kuchukuliwa hatua yoyote ndani ya chama, kapigeni nae picha kama mnampenda.
 
Ccm inasifa ya ku manage stress ndani ya chama haijaanza leo kufukuza. Ilimshusha mzee Abdul Jumbe kwenye urais na kumuweka kando chama kilisafiri bila shida.Maalimu Seif alikuzwa chama kilibaki poa.Mrema aliondoka chama kilibaki chuma. Lowassa na Sumaye walitoroka chuma kilibaki chuma.Sembuse Membe kufikia jumatatu itakuwa story.No impact
 
Kabisa mkuu

Nakubaliana na wewe, Camillius uwezi kumlinganisha na nguvu za lowassa 2015.
 
Ccm ya Baba wa Taifa ni tofauti na ya baada ya Baba wa Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa yalifanyika tangu 2015 na kwa makosa haya Mkapa anastahili kulaumiwa najua anajua kuwa alikosea.
Lakini kuweni makini hasa ww Jk sababu atakayefata kufukuzwa CCM ni ww na Mkapa na akishamaliza basi atatawala milele
Kama kuna kitu mnaweza kufanya basi fanyeni sasa mkiwa bado mnanguvu
nb: kuna kufukuzwa uanachama na kufukuzwa duniani.
Huwajui ccm wewe
 
Kuhusu mkapa nishasemaga mda kidogo
 
Ccm inasifa ya ku manage stress ndani ya chama haijaanza leo kufukuza. Ilimshusha mzee Abdul Jumbe kwenye urais na kumuweka kando chama kilisafiri bila shida.Maalimu Seif alikuzwa chama kilibaki poa.Mrema aliondoka chama kilibaki chuma. Lowassa na Sumaye walitoroka chuma kilibaki chuma.Sembuse Membe kufikia jumatatu itakuwa story.No impact
Kabisa mkuu

Nakubaliana na wewe, Camillius uwezi kumlinganisha na nguvu za lowassa 2015.

Jamaa waliku
Lowassa hakuwa na lengo la kuuwa ccm , yeye alichotaka ni Urais tu , Membe kama hakuuawa ataivunjilia mbali ccm
Teh teh teh

Kwani Camillius ana ushawishi gani kisiasa na kijamii? Hata ile top five ilikuwa mbeleko kutoka kwa mkwere lakini ni mwepesi kama karatasi.

Tuone katumbuliwa mapema ili kama ana uwezo akajipange kuhusu OCTOBER dhidi ya Magufuli kwa chama kingine chochote kile kama akifikisha kura milioni moja kwenye uchaguzi mkuu? Nachoma banda(nyumba) langu moto,kwanza hana ushawishi wowote iwe kichama au kijamii mnam OVERRATED tu.
 
Back
Top Bottom