Mh. Rais tunaomba utusaidie wafanyabiashara wa stendi ndogo Arusha

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
2,104
3,140
Mheshimiwa rais, waheshimiwa mawaziri wa TAMISEMI na biashara, mheshimiwa mkuu wa mkoa pamoja na mkurugenzi wa jiji la Arusha, itifaki imezingatiwa.

Sisi wafanyibiashara katika vibanda vilivyopo stand ndogo arusha tunateseka sana. Kero yetu kubwa ni kodi kubwa tunayolipishwa na wenye vibanda ambao kimsingi walivipewa na manispaa ambapo wao wanalipa kodi ya shilingi 125000 tu kwa mwezi.

Kero yetu kubwa ni jinsi wao wanavyotutoza kod kubwa ya wastan wa 450000 hadi 600000 na mbaya zaidi wanatutoza kodi hiyo kwa mkupuo wa kodi ya mwaka mzima.

Mheshimiwa rais pamoja na mawaziri mfanyibiashara anapotozwa kodi ya pango mathalan milion saba na laki mbili ni nyingi sana na ni mzigo mkubwa sana kwake na hii inasababisha mfanyibiashara anashindwa kulipa kodi za mapato za serikali kwa ufasaha na kupelekea wafanyibiashara kuanza kukwepa kodi.

Hii inapelekea serikali kupoteza mapato mengi sana. Kwa heshma tunaiomba serikali pamoja na mkurugenzi wa jiji watusaidie haya:

1. Serikali isaidie wenye vibanda waache kutugandamiza, tulipe kodi ya mwezi kama wao wanavyolipa manispaa ili tuweze kulipa kodi nyingine za serikali na mapato kwa ufasaha.

2. Kwa kua vibanda ni vya serikali, tunaomba serikali iangalie na idhibiti upandishwaji wa kodi kiholela pamoja na vilemba ili serikali ipate, mwenye kibanda apate na mfanyibiashara pia apate.

3. Sisi tunaamini mfanyibiashara kulipa kodi kwa mkupuo ni kudumaza biashara na biashara inakua sio endelevu hivyo kupelekea serikali kupoteza mapato, tunaomba serikali isimamie hili, ipige marufuku ukandamizaji wa namna hiyo kwa sababu vibanda vile ni mali ya serikali.

4. Hatuombi wamiliki wanyang'anywe vibanda vile bali tunaiomba serikali iweke utaratibu mzuri ambao utainufaisha serikali, wamiliki wa vibanda na sisi wafanyabiashara

5.Tunaomba serikali itulinde
Mwisho kabisa tuna imani na serikali yetu kwani haibagui na pia tunaamin mkurugenzi wa jiji atalifanyia kazi hili. Tunaamini kwa hali iliyopo sasa serikali inapoteza mapato mengi sana hivyo tatizo hili litashughulikiwa haraka iwezekanavyo
 
Last edited by a moderator:
Si mna mbunge, meya na madiwani wengi tu chadema?
Kwa nini msilifikishe huko?, nchi hii kila kitu magufuli mpaka mwenyewe anachoka
 
Kwa kuwa nia ni njema kuiingizia serikali mapato, hili la upandishwaji kodi na kulazimishwa kulipia mwaka kwa wafanyabiashara wadogo ni kuharibu mitaji ya hao wafanyabiashara na kupelekea halmashauri kupoteza mapato.
Tuanzie kwa mkurugenzi mkuu asome hii
Ngongo assist mawasiliano ya mtu halmashauri tumshushie hii sukari.
 
ha! kumbe vibanda vya stendi ndogo ni vya serikali. halafu kuna mtu kati hapo anakula kiulaini. no, hili haliwezekani. alliyeko kwenye kibanda alipe manispaa moja kwa moja sh.120,000 na sio kupitia hao go between. hii si kazi ya jpm. mbunge lema na meya calist tumbueni jipu hili haraka iwezekanavyo. kama hamjui kutumbua majipu, niwafanyie mpango mpate tuition kwa jpm. jambo hili si fair hata kidogo.
 
Mbunge wetu lema tunakuomba uingilie Kati hili jambo kwa sbb mbali Na garama zote hizo kuna kilemba dalali ni kama milion 3 au mbili .
 
Mheshimiwa rais, waheshimiwa mawaziri wa TAMISEMI na biashara, mheshimiwa mkuu wa mkoa pamoja na mkurugenzi wa jiji la Arusha, itifaki imezingatiwa.
Sisi wafanyibiashara katika vibanda vilivyopo stand ndogo arusha tunateseka sana. Kero yetu kubwa ni kodi kubwa tunayolipishwa na wenye vibanda ambao kimsingi walivipewa na manispaa ambapo wao wanalipa kodi ya shilingi 125000 tu kwa mwezi. Kero yetu kubwa ni jinsi wao wanavyotutoza kod kubwa ya wastan wa 450000 hadi 600000 na mbaya zaidi wanatutoza kodi hiyo kwa mkupuo wa kodi ya mwaka mzima. Mheshimiwa rais pamoja na mawaziri mfanyibiashara anapotozwa kodi ya pango mathalan milion saba na laki mbili ni nyingi sana na ni mzigo mkubwa sana kwake na hii inasababisha mfanyibiashara anashindwa kulipa kodi za mapato za serikali kwa ufasaha na kupelekea wafanyibiashara kuanza kukwepa kodi. Hii inapelekea serikali kupoteza mapato mengi sana. Kwa heshma tunaiomba serikali pamoja na mkurugenzi wa jiji watusaidie haya:

1. Serikali isaidie wenye vibanda waache kutugandamiza, tulipe kodi ya mwezi kama wao wanavyolipa manispaa ili tuweze kulipa kodi nyingine za serikali na mapato kwa ufasaha.

2. Kwa kua vibanda ni vya serikali, tunaomba serikali iangalie na idhibiti upandishwaji wa kodi kiholela pamoja na vilemba ili serikali ipate, mwenye kibanda apate na mfanyibiashara pia apate.

3. Sisi tunaamini mfanyibiashara kulipa kodi kwa mkupuo ni kudumaza biashara na biashara inakua sio endelevu hivyo kupelekea serikali kupoteza mapato, tunaomba serikali isimamie hili, ipige marufuku ukandamizaji wa namna hiyo kwa sababu vibanda vile ni mali ya serikali.

4. Hatuombi wamiliki wanyang'anywe vibanda vile bali tunaiomba serikali iweke utaratibu mzuri ambao utainufaisha serikali, wamiliki wa vibanda na sisi wafanyabiashara

5.Tunaomba serikali itulinde
Mwisho kabisa tuna imani na serikali yetu kwani haibagui na pia tunaamin mkurugenzi wa jiji atalifanyia kazi hili. Tunaamini kwa hali iliyopo sasa serikali inapoteza mapato mengi sana hivyo tatizo hili litashughulikiwa haraka iwezekanavyo
Wewe umekurupuka ili tatizo ni zaizi ya serikali ya Chadema jiji la Arusha .kama Mh Lema au Mh Meya wameshindwa ripoti Kwa Mwenyekiti Chadema Mh Mbowe .
 
mnataka msilipe kodi lipa nyinyi wa arusha meya wenu mbunge wenu madiwani wenu mnalalamika nini
 
Si mna mbunge, meya na madiwani wengi tu chadema?
Kwa nini msilifikishe huko?, nchi hii kila kitu magufuli mpaka mwenyewe anachoka
Magufuli hachoki na alishasema atatuhudumia wote. Ila wabunge madiwan na meya kama wanaliona hili tutafurahi wakitusaidia. CcNanyaro
 
Kama ni wafanya biashara mnapaswa kulipa mapato ya serkali na kodi ya pango vile vile kama mnaona haiwalipi basi mtafute sehem ingine iko kwenye uwezo wenu na muwapishe wale wanayo uwezo kwa kuendesha biashara yao kwenye hizo banda haina haja kunagania sehem haina maslahi na nyie.
 
Mkuu vibanda hivi ni mali ya serikali/jiji, kulipishwa kodi ya pango na vilemba kwa ugandamizaji wa aina hii si sahihi kabisa na serikali isilifumbie macho hili. Elewa hatukatai kulipa kodi bali tunataka kulipa kodi kwa kila mwezi ili tuweze kulipa kodi za serikali kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom