DC JOKATE: AKAGUA MIUNDOMBINU YA MASOKO WILAYANI TEMEKE
Mkuu wa Wilaya ya Temeke
Mhe. Jokate Mwegelo amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu katika maeneo ya masoko waliyohamishiwa...
Wakuu salaam,
Wengi tulichukizwa na utawala wa magufuli ajili ya kuminya demokrasia na kutozingatia utawala wa sheria, bt kwa kiasi fulani tuliridhika na walivyodhibitiwa mafisadi.
ajabu awamu...
Naibu waziri wa afya Dkt. Mollel ameliambia bunge kwamba Rais Samia ametoa tsh 4 bilioni kwa ajili ya utafiti wa chanjo ya covid 19 ya kwetu Tanzania.
Chanzo: ITV habari
Salaam!
Kuna post nyingi na kelele nyingi na kampeni nyingi za uongo kumhusu mama mitandaoni na mitaani!
Nyingi zinaendeshwa na wana CCM kindakindaki tena wengi wenye vyeo.
Unajaribu kujiuliza...
Nimewaona wanachama wa CUF wanavyoparurana kupitia Star tv kiukweli pale hamna chama ni sawa na kikundi cha wavuvi.
Abdul Kambaya anasema ruzuku ilikuwa haifiki majimboni ililiwa pale makao makuu...
Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini.
Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu...
Meya wa Jiji la Mwanza amesema muda siyo mrefu watatangaza rangi zitakozoruhusiwa kupakwa kwenye nyumba za jiji hilo.
Lengo ni kuwa na mfanano na kulipendezesha jiji.
Source: The big Agenda Star tv!
Ukweli usemwe sasa,ukichelewa tumekwisha.
Ni nini kimetipata sisi Watanzania? Hasa viongozi wetu?
Nimemsikia Raisi akiwa Scotland, Kenya, Misri nk. Nimemsikia Makamu wa Rais majuzi hapa akiwa...
"Ili chama cha siasa kipendwe na wananchi, hakina budi kuwa na agenda zinazogusa umma"
====
Balozi wa Tanzania nchini Sweden anayemaliza muda wake, Dk Wilbrod Slaa, amesema suala la Katiba Mpya...
Mapungufu yaliyobainishwa katika utekelezaji wa miradi kwa utaratibu wa “force account”, yamepelekea kuwepo kwa athari zifuatazo:
a) Kuwepo kwa viashiria vya rushwa na udanganyifu katika...
Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika...
Hayati Rais Magufuli, yawezekana ndiye alikuwa mtu jasiri kuliko mwanadamu yeyote nchini Tanzania.
Kusema kitu ambacho hakipo, huku ukijua kuwa ukweli utakuja kujulikana lakini ukang'angania...
Yaliyojiri mahakamani leo yanaacha maswali mengi yasiyoweza kuwa na majibu
Ni vipi athari za shauri kuangaliwa kwa upande wa mashtaka tu?
Ni vipi Jaji kuwa mshauri wa upande wa mashtaka?
Vipi...
Jaji Tiganga anayesikiliza kesi ya Freeman Mbowe inayohusiana na ugaidi amekubali kuwa sheria iliyotumika ili ushahidi upokelewe mahakamani imekosewa kutoka upande wa mamlaka ya kiserikali au...
Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na...
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona...
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika?
Can it be accounted for?
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.
My take.
Hili ni Jibu kwa...
Uhuru Na Umoja Online
Ukitaka kwenda upesi nenda peke yako, lakini ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako, msemo huu wa wahenga ndiyo unaoongoza falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.