Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.
Spika alikuwa wapi?
Naibu Spika alikuwa...
Mimi naenda kwenye mada direct.
Nimesoma mahali kwamba Tanzania [emoji1241] [emoji813], inaanza mazungumzo na wachina kuangalia jinsi ya kuendeleza mradi wa Bandari ya Bagamoyo.
Mradi huu awali...
Bodi ya mikopo mpaka round ya nne na ya mwisho wametumia Bil.169 out of Bil.570 Kwan hiz zingne znaenda wapi?
hata kama kusema ni kwa continuing students ndo zote izo?? af first ia ndo ivo...
Naenda kwenye mada moja kwa moja.
CCM mmefanya uteuzi wa makatibu wakuu nchi nzima, jambo ambalo ni nadra kufanyika au halijawahi kufanyika tangu tumepata uhuru.
Kwamba anaingia mwanachama wa...
Napendekeza mamlaka kuliangalia pia suala la kuenea Karakana za magari, mafundi mbao, aluminiam na kuchomelea vyuma.
Nakubali kuwa kazi hizi ni chanzo Cha mapato kwa wengi na zinasaidia watu...
Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo.
Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za...
Baada ya Ijumaa kesi kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani.
Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami.
=====
Jaji ameingia
Kesi...
Katika nchi zilizoendelea za ulimwengu wa kwanza za Ulaya, USA, Canada, Urusi, Japan na nchi nyingine zilizo "serious" kujiletea maendeleo kama China, Vietnam, India na nyinginezo watumishi wa...
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa Kati kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kidunia.
Swali (Money Maker)...
Clip inawaonesha washitakiwa mahakamani buheri wa afya na nyuso za bashasha:
Haiyumkiniki faulo zote ni dhahiri zaidi kwao kama watendwa. Yawezekana psychologically wako set wanajua nini watesi...
Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya...
Kwa kweli Mimi ni mmojawapo ambaye nashangazwa sana na utendaji kazi wa Rais Magufuli
Kifupi ni kuwa huwa simuelewi anataka wasaidizi wake wafanye nini na nini asichotaka wafanye
Ninavyojua Mimi...
Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali 'wanaomsema Vibaya Magufuli'. Akiongea kwa jazba huku na kutokwa povu, alijikita...
Ukaguzi wa CAG ulibaini mfumo wa TANePS hauna uwezo wa kutoa taarifa kuhusu jumla ya Taasisi zinazofanya manunuzi Nchini, idadi ya Taasisi ambazo hazikuwasilisha mpango wa manunuzi wa Mwaka na...
Habari kutoka vyanzo vinavyoaminika zimekuwa zikititirika juu ya ukweli kuhusu zilikoenda zile Trilion 1.5 ambazo zilionekana kama zimeyeyuka hewani, na kutolewa maelezo yasiyoridhisha na...
Siku ya Tarehe 4/11/2021 Saa mbili asubuhi Zitto Kabwe aliandika hizi habari kwenye ukurasa wake wa Twitter Kisha akafuta
Kijana Martin Maranja Masese akamfuata kumuuliza ana maana gani kutoa...
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amewateua watu watano kuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Kwa kufuata kifungu 66 cha katiba ya Zanzibar ya mwaka 1964 amewateua...
Amani iwe juu yenu.
Kuna jambo limenifikirisha sana nalo ni kuona Bunge la JMT kuwa ni Bunge la walalamishi tu bila kuchukua hatua zozote na hayo madaraka wanayo.
Mbali na kwamba inajulikana...
Kipi Watanzania Waasia na Waajemi Wanapatia Ambacho Sisi Tunakosea?
Na Togolani Mavura
Ni kawaida siku hizi kupokea simu, meseji ama ugeni wa ndugu, jamaa na marafiki kukuuliza na kuomba kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.