Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za...
8 Reactions
70 Replies
9K Views
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Nikukumbushe TU Bwana waziri wa fedha na Mipango, nyinyi hamjawa wa Kwanza kufanya miradi mikubwa ya ujenzi, wapo maraisi walioivusha Tanzania kutoka hatua ya chini kabisa wakati huo Dar-mwanza...
4 Reactions
3 Replies
568 Views
*Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania . Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza...
2 Reactions
5 Replies
984 Views
Tundu Lissu Kurejea Nchini Mwakani.....Kaka Yake Asema Risasi Iliyoko Ndani ya Uti wa Mgongo haitaondolewa Wito wangu tuzidi kumwombea ndugu yetu TAL , afya yake izidi kuimarika. Hakika Mungu...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Wasalamu sioni haja ya kujenga madaraja vivuko vya magari kwenye mapitio ya magari wakati kuna njia mbadala na nafuu kwanini msiinue reli kwa kuongeza ukubwa wa tuta treni ipite juu magari yapite...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wana JF Kutoa pongezi kwa upande wa pili. sio kosa ila ni kitendo Cha kiungwana mkubwa Nawapongeza Msigwa na Kibatala kwa kutekeleza kwa Weledi mkubwa majukumu ya kimkakati mliyokabidhiwa Ama...
4 Reactions
9 Replies
942 Views
Kutokana na kuibuka kwa hoja kwanini mradi wa Bwawa la Mwl. Nyerere umechelewa na huko asilimia karibu 45 hadi sasa, na kimkataba ilitakiwa asilimia karibu 90. Mhe. sana Waziri wa nishati...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Spika Ndugai ametangaza mabadiliko madogo ya ratiba ya vikao vya Bunge ambayo yametokana na Muswada wa Hati ya dharura kutoka kwa Rais Samia ambapo amepeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria...
9 Reactions
81 Replies
8K Views
Baada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake. Yeye ni firstborn kwenye...
23 Reactions
113 Replies
21K Views
Wakati CHADEMA kikiwa kime susa mara kadhaa katika muhimili wa Bunge sasa kimeamua kwenda kuonyesha umaahili huo katika muhimili wa pili ambao ni mahakama. Tabia hii au sera hii kwa chama hicho...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mhalifu au mwovu huweza kuwa mtu binafsi, serikali/dola, taasisi, kikundi rasmi au kisicho rasmi. Uovu mbaya kabisa ni ule wa dola maana huo unafanywa dhidi ya wananchi ambao kihalisia walistahili...
3 Reactions
4 Replies
961 Views
Tunajifunza kupitia historia. Na pia mienendo ya kesi huwa ni rejea nzuri na mwalimu pia. Huyu Freeman Mbowe alikaa mahabusu siku 103 katika ile kesi ya Akwilina na baadae Jaji wa mahakama kuu...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Wanasiasa wengi wa CCM ni wachumia tumbo, walikuwa wapi kipindi cha jiwe kujifanya wanatetea wananchi na kuhoji matumizi ya fedha? sasahivi wanajifanya wanafunguka eti wanatetea wananchi
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwamba Jaji Tiganga kalitupilia mbali pingamizi kesi ya Mbowe na aliwahi kutoa hukumu hii: Kuna nini kilichobakia? Pamoja na kumshtakia Mungu, huyu Jaji aombwe kujitoa.
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna Mtu wako Mmoja wa karibu mno hasa kutoka Wizara uliyokuwa ukiiongoza huku Tanzania Bara kwa muda mrefu kanidokeza ya kwamba Role Models wako wakubwa Kiuongozi na ambao unawakubali sana ni...
9 Reactions
36 Replies
6K Views
Nakumbuka kipindi hko nasoma history wakati wa vita ya kwanza na pili ya dunia inapiganwa baina ya waingreza,ufaransa na Ujerumani, Marekani ilikuwa nchi maskini kiuchumi dhidi ya nchi hizo...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wamakonde wa Msumbiji wana visa kidogo! Aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji aliwahi kupatwa na madhila akiwa Ikulu. Akiwa katika siku zake za mwisho za Urais aliwashangaza wananchi wake...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom