ACT Wazalendo michango ya nini wakati mna ruzuku na mnaunda Serikali?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,165
4,581
Mkutano Mkuu @ACTwazalendo

⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa
⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama
⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama
⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia
TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz

IMG_20211117_153145.jpg
 
Mtuambie kipaumbele ni kushiriki chaguzi kwanza au mabadiliko ya mifumo ya Nchi
 
Lisu alichangiwa na alikuwa na ruzuku na mshahara juu.
Alichangiwa na wanaccm ila kwa kificho.Mzee mmoja wa zanz alitoa USD 1000 siku ileile

Andunje aliposikia tu akapiga pin haki zake zote.
 
Back
Top Bottom