Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti'...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba amesema kulazimisha watu wakuite wewe kuwa ni mheshimiwa mbunge, mheshimiwa waziri, mheshimiwa diwani huko ni kuweka matabaka kwenye jamii ya...
34 Reactions
152 Replies
10K Views
Kwa sababu wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa ukianza rasmi 1992 CCM ilibahatika kurithi mali zote ilizozimiliki wakati wa mfumo wa chama kimoja ambazo kimsingi zilikuwa ni mali za watanzania...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia...
18 Reactions
84 Replies
8K Views
Nauliza tu hasa kwa wale wahenga Pascal Mayalla, Mrangi na Mmawia. Hata mwaka ule tukienda Mutukula kumfurusha Nduli Amin Nyerere alikuwa anapigilia sare za mgambo. Siku hizi mgambo...
10 Reactions
64 Replies
7K Views
Picha: Prof. Mkumbo Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo amesema suala la viwanda 100 kila mkoa siyo mpango wake na halipo kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Tangu kesi ya Mbowe ianze ilielezea kidogo sana matukio ya Moshi ambako ndiko tulitegemea milango ilifanyika, sana tulichoshuhudia mbege party, manunuzi ya vocha za simu na safari za hapa na pale...
33 Reactions
90 Replies
8K Views
DC JOKATE: TUMALIZE UJENZI WA MADARASA KWA WAKATI NA MATUNDU YA VYOO Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo amewataka viongozi na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Marekani yuko ziarani Kenya kuongea na mpatanishi wa mgogoro wa Tigray na Ethiopia Rais Uhuru Kenyatta. Waziri huyo aliyetumwa na Rais Biden wa Marekani amesema atakwenda pia Nigeria na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika hali ya kawaida watanzania wanafikishwa mahali pabaya na utawala wa CCM. Kuibinya demokrasia kwenye taifa kunasababisha taifa kupata raia wakakamavu sana bila sababu. Utawala wa makaburu...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa. Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili. Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai...
2 Reactions
109 Replies
11K Views
Waziri Ummy: Tegemeeni makubwa ujenzi wa barabara za vijijini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Ummy Mwalimu amesema dhamira ya dhati ya Serikali ya awamu ya...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Mheshimiwa rais, waheshimiwa mawaziri wa TAMISEMI na biashara, mheshimiwa mkuu wa mkoa pamoja na mkurugenzi wa jiji la Arusha, itifaki imezingatiwa. Sisi wafanyibiashara katika vibanda vilivyopo...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Duh! Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!
26 Reactions
377 Replies
52K Views
Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani. Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa? Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA? [emoji1313][emoji1313][emoji1313] AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"...
15 Reactions
444 Replies
36K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametembelea Mradi wa Matengenezo ya sehemu Korofi katika Barabara ya Katoro-Kyamulaile-Kashaba(Kilometa 5)na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mkutano Mkuu @ACTwazalendo ⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa ⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama ⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama ⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
O Hai DC, tumeleta milioni 50 kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Chemka.Ujenzi umeanzishwa kwa nguvu za wananchi. Sijaridhika na matumizi ya fedha tulizoleta. Wananchi wanasema jengo hili...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom