Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna chama chochote cha siasa hapa nchini ambacho Fikra za mwenyekiti wake zinaweza kupingwa ama kupuuzwa. Walau kwa mbali CCM wanaweza kum-challenge mwenyekiti wao kwenye vikao, tuliona kijana...
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu, Tusameheane tu nimekulia nyumba ambayo baba, Mama, Bibi na Babu wote kwa ujumla na rejareja ni CCM. Ukweli mchungu CCM HAIJADHAMIRIA kutuletea maendeleo ya kweli watu wa kusini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanabodi, Nchi za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zilipata maafa makubwa sana baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Katika kipindi hicho ambacho Umoja wa Mataifa uliundwa, mpango wa kuzisaidia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa...
23 Reactions
58 Replies
10K Views
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi...
4 Reactions
77 Replies
5K Views
Katika uchambuzi wa ripoti za CAG za mwaka 2019/20, WAJIBU imeainisha maeneo yenye viashiria vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu wa fedha za umma. Kiasi ambacho aidha hakikukusanywa au...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua...
8 Reactions
328 Replies
25K Views
Jenerali Ulimwengu ambaye ni kada mkongwe sana ndani ya CCM na mpigania Uhuru amesema Kiongozi anayezuia raia kutumia uhuru wa kujieleza hafai kuhudumu katika ofisi ya Umma hata kwa dakika moja...
32 Reactions
72 Replies
7K Views
Tangu awamu ya pili iingie madarakani nchi hii imekuwa na changamoto mbalimbali za umeme kiasi kwamba umeme umekuwa kama anasa vile kama bia na sigara. Yani kila siku nchi yetu inafanya juhudi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke. Yaani...
49 Reactions
99 Replies
9K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Naomba kujua kwanini maalim seif akifukuzwa uanachama wa chama na hayat mwalimu julius nyerere? Je alikosa kitu gan aisee? Wajuz naomba mshushe nondo za jufa mtu ili...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Kutokana na wakazi wa Ubungo, Kimara na Mbezi kuipiga chini CCM katika uchaguzi uliopita, sasa inaonekana Mhe. Rais ametoa maelekezo kwa Sumatra kuondoa magari yote kwenye route ya Mawasiliano -...
13 Reactions
126 Replies
15K Views
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao. Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi. Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba...
24 Reactions
208 Replies
17K Views
Kila mtaa uwajibike kusimamia upigaji kura na kuhesabu. Fomu za matokeo zijazwe hapohapo. Viongozi wadini wawe maafisa wa usimamizi. Wananchi wawe guru kwenda kituo cha kata kusimamia matokeo...
1 Reactions
0 Replies
508 Views
Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawaza tu na neno huenda ndilo mpigie mstari. Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela. Kulingana na...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia. Tunataka awajibishwe
26 Reactions
133 Replies
10K Views
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba ameagiza kufanyika ukaguzi wa matumizi ya fedha za Corona takribani tsh 1.4 trillioni nchini kote fedha zilikofika. Fedha hizo ni mkopo nafuu kutoka IMF...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Back
Top Bottom