Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya...
10 Reactions
120 Replies
10K Views
Heshima kwenu mkuu, Leo rais Magufuli amezindua Mradi wa Maji wa Ruvu. Katika Hotuba yake, amemtaka Mtendaji mkuu wa DAWASA kujistaafisha kama vipi atatumika kwenye kazi nyingine. Mutalemwa kwa...
9 Reactions
188 Replies
38K Views
8~1~2020. Ndani ya mji wa Tunduma, Katika kanisa la Mch mwakabenga lililo kata ya MAKAMBINI tulikutana viongozi wa chama cha Mapinduzi (ccm) wilaya ya Momba Pamoja na wenyeviti wa mitaa yote 71...
7 Reactions
50 Replies
8K Views
Huu mwenendo hautusaidii Watanzania. Na umeletwa na CCM kwa sababu zao za kutaka fikra ziwe kwenye uchaguzi tuu. Inakuwaje kila jambo jema linalofanywa na Serikali hii ya CCM sifa anapewa Rais na...
39 Reactions
67 Replies
5K Views
Makosa yalifanyika tangu 2015 na kwa makosa haya Mkapa anastahili kulaumiwa najua anajua kuwa alikosea.
48 Reactions
132 Replies
20K Views
Jenerali Ulimwengu akiwa kwenye kongamano la kigoda cha mwalimu Nyerere chuo kikuu cha Dar es Salaam, amesema pamoja na hatua nzuri anazochukua Rais wa sasa, Mheshimiwa John Magufuli ambazo...
31 Reactions
337 Replies
52K Views
Waziri Mkuu mh Majaliwa amesema bara la Afrika kwa sasa linapambana na wimbi la 4 la covid 19 hivyo watanzania tuendelee kuchukua tahadhari. Majaliwa amesema hadi sasa watanzania 725 wameripotiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya watu,hasa Watu wa CCM, mara baada ya Mbowe kutekwa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi kwa sababu tu kadai katiba mpya walisikika wakisema,Mbowe acha akome, kwa sababu miaka yote...
1 Reactions
5 Replies
816 Views
Ukiwa mwana CCM utaishi kwa Raha sana, maana yake ni kwamba, hutaweza kuhisi maumivu yoyote ya maisha. Kila baya kwako litakuwa ni zuri tu, na kila zuri kwako ni zuri tu, kifupi ni kwamba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sisi Wanyonge tumeipokea kwa Shangwe sana taarifa ya Waziri Lukuvi ya kupiga marufuku madalali waliokuwa wanatuchaji hela ambayo ni yenye thamani ya kodi ya mwezi mmoja kwenye zile nyumba au...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
CCM ni chama dola. CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi. CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania. Dkt. Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha...
4 Reactions
92 Replies
7K Views
Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Jaji wa mahakama kuu amesema rufaa ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai kisha kusingiziwa ameiba simu aina ya Tecno na pesa laki tatu na sitini na kufungwa miaka 30 jela Lengai Sabaya itaanza...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Na Mwandishi Wetu Moshi. Katika Andiko la 16.11.2021.umeandika kwa herufi kubwa "DR.KIMEI NA PROF. NDAKIDEMI WANATUHUJUMU SISI WANANCHI" Hii inaonyesha kwa kiasi gani huyafahamu majukumu ya...
1 Reactions
0 Replies
985 Views
Katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali Kuu, CAG alibaini; a) Kupotea kwa kodi ya Tsh. Bilioni 12.14 ya Mafuta lita milioni 16.55 yaliyoingizwa Nchini kama Mafuta ambayo yalikuwa yanakwenda Nchi...
1 Reactions
2 Replies
934 Views
Mabibi na mabwana awamu ya tano imepita na sasa kazi inaendelea katika awamu ya sita chini ya Rais Samia. Kwamba tupo awamu ya sita itakuwa kutojitendea haki mno kutoyaangazia kabisa madhara ya...
16 Reactions
55 Replies
6K Views
Bendera ya CCM haianguki na hatoigusa mchanga, kabla haijafika chini mwengine anaikamata na kazi inaendelea. Wapinzani jifunzeni kukata tamaa maana hampo hata kwenye stage za kiushindani ,kama...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021 Ungana nami...
15 Reactions
104 Replies
15K Views
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala...
7 Reactions
78 Replies
7K Views
Mnapoambiwa kuna watu na kuna viatu muwe mnaelewa, Huyu Mwamba Mbowe ni Mtu mzito hasa , sasa utajuaje uzito wa mtu hasa pale anapoingia mahali fulani? Fuatilia video hii halafu sikiliza kwa...
26 Reactions
69 Replies
6K Views
Back
Top Bottom