Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbongwe, Mobahe George amesema kuwa, mbunge wa jimbo hilo Nicodemas Maganga ni mzima na yupo mapumziko kwa sasa ndio maana hapatikani hewani na kwamba...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mada mbili hizi zinajielekeza wazi nini kifanyike sasa kwa maslahi ya taifa: #1: Mheshimiwa Majaliwa juzi alituhakikishia upo umeme wa kutosha: #2: Tanesco leo wanatutaarifu kuwa umeme...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais Samia amesema hivi karibuni tutasherehekea miaka 60 ya Uhuru na katika muda huo kila awamu ilitimiza majukumu yake kwa umakini mkubwa. Sasa tuko awamu ya 6 na mimi nasema Kazi Iendelee...
1 Reactions
1 Replies
666 Views
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna. Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi"...
15 Reactions
192 Replies
12K Views
Hi kesi ya Mbowe na wenzake ni funzo tosha kwa academicians katika tasinia ya sheria, na pia ni funzo kwa wanasiasa sidhani kama kesi yenye mchuano mkali wa namna hi ilisha wahi kutokea hapa...
27 Reactions
76 Replies
5K Views
Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania: Na. M. Majaliwa, Esq. Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa...
3 Reactions
114 Replies
15K Views
Wiki iliyopita tumemsikia Mbunge wa Musoma Vijijini na Waziri wa zamani Prof. Sospeter Muhongo akidai tuachane na miradi ya umeme wa maji kwa kile alichokidai inachelewa kutoa matokeo na kukupa...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Joto linalotishia mazingira ya asili ya Mlima Kilimanjaro ni questionable! Ongezeko la joto hadi 40+ kwa siku za karibuni ni kiashiria cha mpasuko mkubwa wa Ozone layer kwa anga linaloambatana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NILICHOGUNDUA KWENYE KELELE ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI Na, Robert Heriel. Taikon wa Fasihi Mayowe kila upande, Kusini hakuna umeme! Mashariki hakuna maji, Kaskazini Tozo Magharibi vifurushi Chini...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Sababu ni nyingi sana na ushaidi wa kimazingira ni mwingi sana tokea vita ya Kagera. Tumechoka kuishi chini ya ubaguzi huu wa mkoa wetu Ifahamike wanakagera hatuko hapa kumsema vibaya yeyote...
3 Reactions
73 Replies
9K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa Jina la JMT Siku si nyingi niliandika uzi kuhusu yanayopaswa kufanyika ili kuokoa mazingira yetu na kuiepusha nchi yetu na majanga ya chakula na Umeme . Uzi huu hapa chini👇...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Sasa ni dhahiri Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta wakati mnajipanga na umeme wa maji. Wakati huo fanyeni kuharakisha kuongeza uzalishaji wa Gesi ili tupate umeme wa bei nafuu. Wizara...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wanajamvi, Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amepongezwa kwa utendaji kazi wake kuwa kwa kipindi kifupi umeleta mabadiliko mazuri kiutawala na hasa katika kuwaletea maendeleo wananchi na wakazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwana masumbwi wa Marekani aitwaye Joe Louis aliwahi kusema, ''He can run, but he can't hide''. Kitendo cha Rais wa Tanzania na Waziri Mkuu wake, Majaliwa Kassim Majaliwa kuigusa kiutaratibu na...
5 Reactions
111 Replies
24K Views
Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora. Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni wazi kuwa kama nchi tunapita wakati mgumu sana uliohitaji busara zaidi kuliko maguvu. Kuna shida ya maji Dar tuliyoaminishwa kuwa ni kupungua kwa maji mto Ruvu japo unaendelea kumwaga yake...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom