Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wazi kuwa kama nchi tunapita wakati mgumu sana uliohitaji busara zaidi kuliko maguvu. Kuna shida ya maji Dar tuliyoaminishwa kuwa ni kupungua kwa maji mto Ruvu japo unaendelea kumwaga yake...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando baada ya kumkuta hana hatia ==== Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
32 Reactions
138 Replies
24K Views
Akizungumza katika sherehe za miaka 50 za hospitali ya Kanisa Katoliki Bugando Mwanza, Rais Samia amesema fedha za covid zilizogawanywa sehemu mbalimbali nchini ni mkopo wa masharti nafuu kutoka...
0 Reactions
5 Replies
749 Views
Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania. Lakini kwa...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Itamsaidia nini mwananchi kuwa na Uhuru wa kumchora Rais na Kumtukana atakavyo na huku hakuna Huduma za muhimu kama Elimu, Hospitali, Miundo Mbinu, Umeme na Maji? Yaani kuwa mwanasiasa wa Chama...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba. Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam, Declaration of Interest. Hili ni bandiko kuhusu hypothetical situation tuu na sio any real situation, lunazungumzia a hypothetical being not a real being na halimlengi mtu yoyote specific...
42 Reactions
127 Replies
18K Views
Naleta uzi huu baada ya kuona mwelekeo wa kuvipa majina kiholela vitu muhimu, mali ya Watanzania wote. Aghalabu majina ya wanasiasa ndiyo tu yanayotumika. Tena wanasiasa wawili au watatu tu...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Leo mtanzania analia lia na shida ya Umeme leo Mtanzania analialia na shida ya maji. Tuna ukanda wa bahari kwa zaidi ya kilomita 700 Tuna maziwa Makuu ya Afrika na tuna mito inayotiririsha maji...
1 Reactions
1 Replies
932 Views
Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao! Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Mara kwa Mara umeandikiwa barua na Msajili ujieleze kutokana na baadhi ya matamko yako kwa niaba ya chama. Umekuwa ukijibu barua zao,je mrejesho huwa unakuwa nini baada ya kujieleza...
1 Reactions
7 Replies
955 Views
Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Imezoeleka kusikia hotuba za baba wa Taifa wakati wa kumbukumbu ya kifo chake, tarehe 14/10 ya kila mwaka na wala siyo vinginevyo. Kwa kweli unaposikia hotuba za Mwalimu, huwa hazichuji kabisa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UKISIKIA URITHI NDO HUU Tarehe 14/11/2021 kulikuwa na uchaguzi wa mzunguko wa pili wa Meya wa Prizren, ambao ni mji mkuu wa kihistoria wa nchi ya Kosovo. Katika uchaguzi huo wagombea wawili...
22 Reactions
74 Replies
6K Views
Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika. Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kishindo sekta ya afya nchini Tanzania Kishindo sekta ya Afya Kanda ya Ziwa Fuatilia matangazo mubashara Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani Jijini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri wa Maji alifanya kikao usiku na DAWASA, kwenye kikao chake amesema kusiwepo na upendeleo wa mgao wa maji. Amesema pia kuwepo na bei elekezi ya wanaouza maji binafsi. Hadi hapa waziri...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:- (a) Jumuiya za chama Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais mtarajiwa wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina...
15 Reactions
203 Replies
25K Views
Back
Top Bottom