Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano. Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, taasisi za umma na mashirika ya...
22 Reactions
139 Replies
8K Views
Tanzania ni taifa ambalo tumekuwa gizani sana kuhusiana na sheria zetu/ katiba yetu inayolinda viongozi wa juu wa umma kutoshitakiwa pindi wanapofanya jinai katika utumishi wa umma, hii inawafanya...
1 Reactions
5 Replies
775 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kama kweli tunahitaji Katiba Mpya itumike katika chaguzi za 2024 na 2025 basi Muswada wa sheria ya Katiba Mpya ni lazima upelekwe bungeni kwenye...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya: “Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu. Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi...
19 Reactions
206 Replies
11K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kama ni kweli kwenye lile kundi la wabunge 19 tuliowafukuza kuna Wake wa Viongozi wao, hayo ni masuala binafsi chama hakiwezi kuingilia. Tundu...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Taifa lenye watu wengi wasio na uadilifu ni kawaida sana kuwepo kwa wizi wa mitihani ama udanganyifu kwenye mitihani. Uadilifu ni zaidi ya mtu kutokuiba ama kusema uongo, uadilifu pia ni pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Ikitoa maoni kwa Tume ya Haki Jinai katikakuboresha mfumo wa Haki nchini, Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), imeshauri maeneo manne yanayohusisha mfumo wa huduma za magereza, utendaji wa Jeshi la...
1 Reactions
5 Replies
764 Views
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18...
12 Reactions
122 Replies
10K Views
Mdude Nyagali ametoa machozi akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika maoni yake kwa Tume hiyo, Bakwata imeshauri kuboresha vipengele vya sheria tano, ikiwamo ile ya kuzuia ugaidi ya mwaka 2002 inayotoa mamlaka kwa polisi kupiga risasi na kumuua mtuhumiwa wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Siasa ni mfumo ambao baadhi ya watu huwatawala wengine," nukuu iliyo kwenye kitabu cha mwandishi kutoka nchini Canada, Glenn Tinder. Katika maandishi yake Tinder anasema, kisiasa kila mtu ni...
1 Reactions
7 Replies
667 Views
Daah! Sasa nashindwa namna ya kuelezea jinsi isivyo kawaida kwa aliyekuwa Raisi wa nchi yetu Tanzania hayati John Pombe Magufuli! Huyu alikuwa ni kiongozi wa aina gani? Ni miaka miwili sasa...
8 Reactions
96 Replies
4K Views
Nimewasoma makamanda humu mitandaoni wakipiga porojo eti uchifu ulifutwa, ulifutsa wapi? Mbona akina Chifu Marealle bado wanahudumu? Mbona Tundu Lisu wakati wa kampeni alisimikwa uchifu? Mbona...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
WanaJf salaam! Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya...
0 Reactions
2 Replies
464 Views
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepongeza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo kulingana na Bajeti iliyotengewa kwa mwaka wa fedha 2022/23...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Wakati Wanasiasa wengi wanatafuta Kiki kwa Kumtukana, kumkejeli na hata kumsingizia mabaya hayati Magufuli, mjumbe wa kamati kuu ya Chadema ameamua kutumia Njia tofauti Lema awali alijaribu...
15 Reactions
93 Replies
4K Views
Wanabodi, Mara baada ya mazishi ya Mhe. Regia, (RIP), on route back to Dar, nilibahatika kukutana mahali na Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wibroad Slaa akiwa na wife wake, Fina, tuliendesha maongezi...
17 Reactions
215 Replies
26K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom