Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia. Kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa hisia tofauti...
7 Reactions
98 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati wa kuwafanya...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hapa tulipofikishwa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Suluhu Hassani tuna kila sababu ya kizalendo kumshukuru sana Rais wetu...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Kongole Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
0 Replies
408 Views
CHADEMA , ACT WAZALENDO , CCM pamoja na CCM B wote wanajua, Mama Samia ni mpenda haki, amani na upendo na mwenye niya ya Dhati kabisa katika kuliunga Taifa moja la Tanzania lenye amani, umoja...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Kwema Wakuu! Nikiangalia Siasa za awamu hii ni kama zimepoa hivi, hakuna zile mbindembinde, roho mkononi, patashika nguo kuchanana, nikanyage bahati mbaya nikukwarue makusudi. Magufuli Siasa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais Samia awezesha ndege mpya ya mizigo kutua Aprili. Na Bwanku Bwanku. Ndege mpya ya mizigo iliyoagizwa na Serikali ya Tanzania kutoka nchini Marekani inatarajiwa kupokewa nchini mwezi Aprili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24. Makamu...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa...
0 Reactions
3 Replies
691 Views
DC VICTORIA MWANZIVA - MIAKA MIWILI YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NDANI YA WILAYA YA LUDEWA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amesema; kwa hakika Miaka Miwili imekuwa ya Neema...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya sababu za JPM kutumbua! 1.Viongozi kutumbuliwa kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji walio chini yao pale wanapobainika kutenda hovyo! Yeye mwenyewe kashindwa kumuwajibisha...
19 Reactions
101 Replies
9K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mh Ole Sosopi mapema leo amefundisha elimu ya Katiba Mpya huko Ifakara, wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika jimboni humo. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Mikoa kumi iliyovutia wawekezaji kwa kuangalia thamani (Tsh) ya miradi iliyosajiliwa na TIC kwa mwezi Februari 2023; 1. Dar - Bilioni 422 2. Pwani - Bilioni 307 3. Morogoro - Bilioni 19 4. Ruvuma...
1 Reactions
10 Replies
916 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Kim, Sun Pyo ambapo ameeleza kuwa Serikali...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Arusha Vigogo wamejitokeza kuwania nafasi za wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Arusha. Miongoni mwa waliojitokeza kuwania nafasi hizo ni Mbunge wa Bunge la Jumuiya...
0 Reactions
8 Replies
943 Views
Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu...
10 Reactions
146 Replies
11K Views
Nimeandika kichwa Cha habari apo juu kwa kuangalia mwenendo wa viongozi, baadhi ya wanachama na mashabiki wa chadema kujitoa akili kukimalisha CCM na mwenyekiti wake.Nasema hivyo kwa sababu...
8 Reactions
98 Replies
4K Views
Mchoro wa mtu anayefanya udadavuzi wa fikira Na Dkt. Ada LOVELACE, Pambazuko Toleo Na. 0031 1. Usuli Maadili asilia ni kanuni za kuongoza tabia za watu zinazopatikana kutokana na kuangalia...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano. Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, taasisi za umma na mashirika ya...
22 Reactions
139 Replies
8K Views
Back
Top Bottom