Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,389
1,258
WanaJf salaam!

Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais.

Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri na wanampamba kwa sifa zote ili akishalewa sifa zao wapate nafasi ya kupitia na kushika dola.

Swali kuu ni;
(a) Je, sifa za Upinzani kwa Rais zina agenda ya wazi kwa ustawi wa CCM?

(b) ACT, NCCR, CUF, CDM nk, wako tayari kutomsumbua Rais katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu kwa kuwa CCM ina maslahi mapana na chaguzi hizo?

Kwa CCM furaha yetu ni kuona ongezeko la Chawa toka nje ya chama.
 
Hivi huwa mnawasikiliza Chadema kwa kina au juu juu tu?
Wao wanamsifia Samia kuwa na siasa safi tofauti na mtangulizi wake bedui, lakini wanaiponda serikali ya CCM (anayo iongoza) kwa kushindwa utawala bora na kuleta maendeleo ya Raia.
Wewe mpiga kura unaelewa nini hapo? Ni kuwa Samia na CCM yake imeshindwa kuongoza nchi iondolewe kwa kura lakini iheshimiwe kwa kubadilika na kuwa wastaarabu tofauti na awali
 
Chadema walikuwa na siasa safi kipindi cha Kikwete?

Kuna watu walikuwa na siasa chafu kama Chadema? Kipindi kile

Mafufuli ndie aliwanyooisha bqrabara kuwashikisha adabu ubabe wao

Sasa hivi baada ya kushika Samia wameshika adabu zao wakagunfua ubabe wao haulipi..
Magufuli ndio aliwageuza.vichwa vyao vikae sawa na kujua siasa zataka ustaarabu .

Somo la siasa za ustaatabu walikuwa hawajui Magufuli akawalazimisha wajue kuwaburuza hasa barabara

Sasa hivi hata uwaulize mtarudie tena soasa zenu za kibabe mlifanya kipindi.cha Kikwete wataanza hata kulia kuwa haturudii

Ubabe wa Magufuli ndio umesaidie wao kuwa watulivu kwa sasa kisiasa

Mtoto ukimtandika viboko baadaye kinachofuata ni mtoto.kutulia.ndicho.kilichowakuta Chadema

Magufuli alitembeza viboko kwa Chadema
 
Wao wanamsifia Samia kuwa na siasa safi tofauti na mtangulizi wake bedui, lakini wanaiponda serikali ya CCM

(anayo iongoza) kwa kushindwa utawala bora na kuleta maendeleo ya Raia.
Wewe mpiga kura unaelewa nini hapo?

Ni kuwa Samia na CCM yake imeshindwa kuongoza nchi iondolewe kwa kura lakini iheshimiwe kwa kubadilika na kuwa wastaarabu tofauti na awali

Heshima inapatikana vipi?

Ni suala la Heshima au Busara?

Haijalishi.
 
WanaJf salaam!

Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais.

Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri na wanampamba kwa sifa zote ili akishalewa sifa zao wapate nafasi ya kupitia na kushika dola.

Swali kuu ni;
(a) Je, sifa za Upinzani kwa Rais zina agenda ya wazi kwa ustawi wa CCM?

(b) ACT, NCCR, CUF, CDM nk, wako tayari kutomsumbua Rais katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu kwa kuwa CCM ina maslahi mapana na chaguzi hizo?

Kwa CCM furaha yetu ni kuona ongezeko la Chawa toka nje ya chama.
Wewe unaona mbali! Ndiyo agenda ya Siri kuitoa ccm madarakani. Kumbuka JK 2010 alikuwa ameondoka kwa njia hii hadi aliposituka pale mwishoni.
 
Chadema walikuwa na siasa safi kipindi cha Kikwete?

Kuna watu walikuwa na siasa chafu kama Chadema? Kipindi kile

Mafufuli ndie aliwanyooisha bqrabara kuwashikisha adabu ubabe wao

Sasa hivi baada ya kushika Samia wameshika adabu zao wakagunfua ubabe wao haulipi..
Magufuli ndio aliwageuza.vichwa vyao vikae sawa na kujua siasa zataka ustaarabu .

Somo la siasa za ustaatabu walikuwa hawajui Magufuli akawalazimisha wajue kuwaburuza hasa barabara

Sasa hivi hata uwaulize mtarudie tena soasa zenu za kibabe mlifanya kipindi.cha Kikwete wataanza hata kulia kuwa haturudii

Ubabe wa Magufuli ndio umesaidie wao kuwa watulivu kwa sasa kisiasa

Mtoto ukimtandika viboko baadaye kinachofuata ni mtoto.kutulia.ndicho.kilichowakuta Chadema

Magufuli alitembeza viboko kwa Chadema
Lugha muafaka na inayowafikia wengi.

Kwa lugha Nyingine....wanaridhiana na wana heshimu Dola na Taasisi zinazoongozwa na Binadamu.
 
Chadema walikuwa na siasa safi kipindi cha Kikwete?

Kuna watu walikuwa na siasa chafu kama Chadema? Kipindi kile

Mafufuli ndie aliwanyooisha bqrabara kuwashikisha adabu ubabe wao

Sasa hivi baada ya kushika Samia wameshika adabu zao wakagunfua ubabe wao haulipi..
Magufuli ndio aliwageuza.vichwa vyao vikae sawa na kujua siasa zataka ustaarabu .

Somo la siasa za ustaatabu walikuwa hawajui Magufuli akawalazimisha wajue kuwaburuza hasa barabara

Sasa hivi hata uwaulize mtarudie tena soasa zenu za kibabe mlifanya kipindi.cha Kikwete wataanza hata kulia kuwa haturudii

Ubabe wa Magufuli ndio umesaidie wao kuwa watulivu kwa sasa kisiasa

Mtoto ukimtandika viboko baadaye kinachofuata ni mtoto.kutulia.ndicho.kilichowakuta Chadema

Magufuli alitembeza viboko kwa Chadema
Kimya kingi mshindo mkuu.Mungu alitusaidia sana kuondoa Ile takataka
 
Mimi.Kimya kingi mshindo mkuu.Mungu alitusaidia sana kuondoa Ile takataka
Mimi naona pia kwa upande mwingine Mungu alimtumia Magufuli kuleta siasa za kistaaarabu kwa kuwanyoosha Chadema ambao walitaka kuipeleka nchi kubaya na kwenye unwagaji damu wa vita

Bila Magufuli nchi hii damu ingemwagika na vita vya wenyewe kwa wenyewe vengetojea kwa kuanzishwa na Chadema.Walijipanga kuchukua nchi kwa nguvu ya kumwaga damu

Mungu fundi akamwibua Magufuli mtu.ambaye hajawahi ota kuwa atakuja kuwa raisi wala kutabiriwa kuwa atakuja kuwa raisi .Mungu akamwibua asghughulike na Chadema. Na aliifanya hiyo kazi barabara nchi hadi leo ina amani na utulivu w kisiasa.Chadema ubabe wote mfukoni

Nashukuru Mungu kwa kazi kubwa Mungu alimtumia Magufuli ku deal na Chadema

Sifa na Shukrani zimwendee Mungu muumba mbingu na nchi aliyewezesha hilo
 
Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?​

Mkuu Kabende Masakila.

(a) Je, sifa za Upinzani kwa Rais zina agenda ya wazi kwa ustawi wa CCM?
Kuna masawali mawili hapo....(1)a.Pongezi za Upinzani(vyama mbadala) kwa Raisi wa Nchi[Taasisi] au her Presidency na (2)a. Je Agenda zao kwa Mwenyekiti wa CCM ni hasi kwa Ustawi wa CCM?
Mie nauliza Je zina owana kupunguza sifa ya CCM?

kwa maoni yangu au majibu yangu

....Sifa za Upinzani ni zile zinazo onyesha kuheshimu Taasisi ya Raisi. Huko Juu Yehodaya ameonyesha sababu na amehitimisha ninacho dai. Kuwa kuna uwoga fulani

Vilevile, ni wazi CHADEMA hawana agenda ya Nchi, hawana sera. Zaidi ya Tume huru na Katiba mpya?
Wengine hawapewi nafasi aidha kwa makusudi au kwa kutofanya jitihada za kuonekana wapo?

Hivyo basi inawezekana wanayo agenda ya siri? Na haionekani?

Hatahivyo... CHADEMA ambayo imekuwa ikichoganisha wananchi na Serikali yao, Wananchi na CCM siyo siri, ila inaonyesha na wao wanaweza kuwa wako 'Manipulative' and 'Calculative'
hakika siasa ni chafu na huwa ya mahesabu, walakini...
Uchonganishi wao wa Wananchi dhidi ya Serikali na Chama(CCM) inaweza legeza ustawi wa CCM.

Inaweza kuwa kosti CCM.
Inawezekana.

Vilevile,
inawezekana agenda ya hao wengine imefichika kwani hatuwasikii.

(b) ACT, NCCR, CUF, CDM nk, wako tayari kutomsumbua Rais katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu kwa kuwa CCM ina maslahi mapana na chaguzi hizo?

Nafikiri ACT NCCR CUF na wengine bado wana nafasi ya kutia jamba joto kwenye chaguzi za Serikali za mitaa na kadhalika Au niseme sina wasiwasi sana wanaweza kuwasumbua hali wasipofuata nyayo za the non-sensical CHADEMA

CHADEMA wanapo lamba lamba miguu(Pongezi)
hawaeleweki, na labda mie ndiye nisiyojuwa, lakini wana hitaji kudonoa sehemu wanakojua wataweza kupata hizo nyadifa.. ila kitu dhahiri(agenda iliyo wazi)CHADEMA wanataka Uraisi tu....ambao kwa sasa wamesharidhiana ni wa SSH 2025 provided ni Chaguo la CCM?

Hiyo ni tosha kwa Vyama hivyo vingine kufanya siasa zao kwa umakini na wa lengo la kuwahudumia wananchi kuanzia ngazi za chini kwenda juu. Yaani Serikali za Mitaa na kupanda juu. Wasiwaigize CHADEMA. Na wawaachie CHADEMA wafanye hayo maridhiano kwani wanaonyesha ni jinsi gani walivyo wabinafsi. They should use that.

Je mda wao CHADEMA, wa kulumbana na Kaburi wakati wanaweza kulumbana na wanaokoronga sasa hivi ni hasi kwa Ustawi wao?
 
WanaJf salaam!

Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais.

Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri na wanampamba kwa sifa zote ili akishalewa sifa zao wapate nafasi ya kupitia na kushika dola.

Swali kuu ni;
(a) Je, sifa za Upinzani kwa Rais zina agenda ya wazi kwa ustawi wa CCM?

(b) ACT, NCCR, CUF, CDM nk, wako tayari kutomsumbua Rais katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu kwa kuwa CCM ina maslahi mapana na chaguzi hizo?

Kwa CCM furaha yetu ni kuona ongezeko la Chawa toka nje ya chama.
Genge S ndio adui mkubwa wa CCM kuliko Chadema hivyo CCM pambaneni na hilo genge.
 
Chadema walikuwa na siasa safi kipindi cha Kikwete?

Kuna watu walikuwa na siasa chafu kama Chadema? Kipindi kile

Mafufuli ndie aliwanyooisha bqrabara kuwashikisha adabu ubabe wao

Sasa hivi baada ya kushika Samia wameshika adabu zao wakagunfua ubabe wao haulipi..
Magufuli ndio aliwageuza.vichwa vyao vikae sawa na kujua siasa zataka ustaarabu .

Somo la siasa za ustaatabu walikuwa hawajui Magufuli akawalazimisha wajue kuwaburuza hasa barabara

Sasa hivi hata uwaulize mtarudie tena soasa zenu za kibabe mlifanya kipindi.cha Kikwete wataanza hata kulia kuwa haturudii

Ubabe wa Magufuli ndio umesaidie wao kuwa watulivu kwa sasa kisiasa

Mtoto ukimtandika viboko baadaye kinachofuata ni mtoto.kutulia.ndicho.kilichowakuta Chadema

Magufuli alitembeza viboko kwa Chadema
magufuli alikuwa mpumbavu uwaji,tekaji,jizi la kura lililowahadaa wapumbavu wenzake na wao kwa upumbavu wao wakaliamin saiv wajane wake wamebaki kulialia mitandaon kuwa marehemu hasemwi kwa upoyoyo wao huku wamesahau kuwa akisifiwa yanashangilia na kusema magufuli hatasahaulika kama sio upumbavu ni nini, magufuli alikuwa mshenz na amewafundisha ccm wenzake kuwa ushenz haulipi maana ukiufanya utakufa kama alivyokufa magufuli kwa ushenz alioufanya na sasa yuko motoni anaimba iyena iyena huku akitaman japo arudishwe dunian hata secunde moja aje atubu na kusema hatorudia kwa tabia za magufuli ccm wajingawajinga wamejifunza ndio maana siv kila kona ya nchi wanaccm wanaimba wimbo wa kujibu kwa hoja maana wanajua walikuwa hawajibu kwa hoja bali kufanya ujinga.
Nb, chadema imewatia adabu ccm waliozoea kusaidiwa na polis na ikiendelea hivi 2024 na 2025 kwenye chaguz hawatasahau.
 
Kimya kingi mshindo mkuu.Mungu alitusaidia sana kuondoa Ile takataka
Nakumbusha tu kwamba maadui zetu ni Ujinga, Maradhi na Umasikini toka enzi za Nyerere huko hadi sasa. Wenzetu huko wanaandamana, sasa kama sisi tunatumia maombi kutatua matatizo yetu basi tuombe Mungu atuondolee hao maadui zetu watatu wa Ujinga Maradhi na Umasikini tutakuwa tumefanya jambo kubwa sana.
 
magufuli alikuwa mpumbavu uwaji,tekaji,jizi la kura lililowahadaa wapumbavu wenzake na wao kwa upumbavu wao wakaliamin saiv wajane wake wamebaki kulialia mitandaon kuwa marehemu hasemwi kwa upoyoyo wao huku wamesahau kuwa akisifiwa yanashangilia na kusema magufuli hatasahaulika kama sio upumbavu ni nini, magufuli alikuwa mshenz na amewafundisha ccm wenzake kuwa ushenz haulipi maana ukiufanya utakufa kama alivyokufa magufuli kwa ushenz alioufanya na sasa yuko motoni anaimba iyena iyena huku akitaman japo arudishwe dunian hata secunde moja aje atubu na kusema hatorudia kwa tabia za magufuli ccm wajingawajinga wamejifunza ndio maana siv kila kona ya nchi wanaccm wanaimba wimbo wa kujibu kwa hoja maana wanajua walikuwa hawajibu kwa hoja bali kufanya ujinga.
Nb, chadema imewatia adabu ccm waliozoea kusaidiwa na polis na ikiendelea hivi 2024 na 2025 kwenye chaguz hawatasahau.
Natamani niwe wewe halafu nione vile jinsi unavyokwazika na Magufuli.
 
WanaJf salaam!

Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais.

Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri na wanampamba kwa sifa zote ili akishalewa sifa zao wapate nafasi ya kupitia na kushika dola.

Swali kuu ni;
(a) Je, sifa za Upinzani kwa Rais zina agenda ya wazi kwa ustawi wa CCM?

(b) ACT, NCCR, CUF, CDM nk, wako tayari kutomsumbua Rais katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu kwa kuwa CCM ina maslahi mapana na chaguzi hizo?

Kwa CCM furaha yetu ni kuona ongezeko la Chawa toka nje ya chama.
Watu wanacho taka ni maendeleo, maitikadi yenu ya vyama wala hayasaidii chochote, CCM ikishinda sawa ili mradi tu ilete maendeleo kwa wananchi wake, CHADEMA ikishinda sawa tu ili mradi ilete maendeleo kwa wananchi wake. Dhima kuu ya uongozi ni kupeleka maendeleo kwa wale unaowaongoza
NB: Maendeleo hayana chama
 
WanaJf salaam!

Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais.

Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri na wanampamba kwa sifa zote ili akishalewa sifa zao wapate nafasi ya kupitia na kushika dola.

Swali kuu ni;
(a) Je, sifa za Upinzani kwa Rais zina agenda ya wazi kwa ustawi wa CCM?

(b) ACT, NCCR, CUF, CDM nk, wako tayari kutomsumbua Rais katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu kwa kuwa CCM ina maslahi mapana na chaguzi hizo?

Kwa CCM furaha yetu ni kuona ongezeko la Chawa toka nje ya chama.
Huwa wanamsifia Rais Samia Suluhu i think mtu akikichukia chama haimanishi anamchukia mtu anaweza akawa anakichukia chama kutokana na watangulizi wake lakini yeye yuko vizuri sana na inaovyoonekana Rais Samia atapita bila kupingwa 2025 maana vyama vyote vinamkubali
 
Back
Top Bottom