CCM yatoa onyo kali kwa viongozi wastaafu

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,032
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama.

Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja kutengeneza makundi ya kukishambulia Chama na Serikali na CCM haitosita hata kidogo kuwachukulia hatua kali wahusika

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ambaye pia ni Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa aliye katika ziara mkoani mara ameyasema hayo huku akimnyyoshea kidole aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mara Samweli Kiboye maarufu Namba 3.
 
Mvunja nchi ni mwananchi
 
Nani analengwa hapa?
 
Wanajipendekeza muulize Makonda na Ali Hapi na kale kajambali Sabaya wapo wapi saivi? Heri kaponea chupuchup coz ya nasaba tu
 
Unadhani unaweza kupambana na mzee Kikwete?Maweee!

NIPAMBANE NA HILO JIZI LA KAZI GANI? HILO LITAJIFIA TU LENYEWE TARATIBU.

MIMI KAZI YANGU NI KULINANGA NA KULIFOKEA TU NOO MARAAA WAAAAT.

NAPENDA SANA KUWAKERA NYIE MANDONDOCHA YAKE MNAOFAIDI MATUNDA YA UJAMBAZI ALIOUFANYA DHIDI YA NCHI.
 
Back
Top Bottom