Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,988
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023.

Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote kujiepusha kabisa na mambo yanayoweza kuathiri maendeleo yao kimasomo.

Mama Magufuli amesema mambo mengi ya Kisasa hususan ya mitandao yamekuwa yakitengua mawazo chanya ya wasichana, na kuwashawishi waishi maisha ya mtandao ambayo mengi yao si maisha halisi.

“Kwa hiyo binti zango elekezeni akili, maarifa na juhudi katika masomo na sio mambo mengine yanayoweza kuathiri maendeleo yenu kimasomo kama vile mambo ya mitandao ambayo mengi sio yenye kuonesha maisha halisi”, alisema Mama Magufuli leo Machi 18, 2023 nyumbani kwake Chato, Mkoa wa Geita.

Mjane huyo wa Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiongea machache baada ya kutoa misaada ya taulo za wasichana na Baiskeli za magurudumu kwa Shule tatu za Sekondari za Wasichana zilizomo wilayani Chato.

Hapo ni ukweni kwake, rubambangwe chato.

Magu kutaka kujimilikisha hapo kwao ndiko kulipelekea kuwasweka ndani wadogo zake na akawafukuza.

Bifu likamalizka alipokuwa rais, teeth walikuwa wanayasovu mambo kimyakimya.
Kwa io magu rais wa jmt alikua na njaa mpaka akaingia mgogoro na wadogo zake kisa kugombea ardhi
hapo chato

Dah mda mwingine tumieni hata akili kufikiri, ila uzuri huku Kila mtu kajificha nyuma ya keyboard, mtaani stori za kijinga kama hizi watu hawakawii kukutia vibao
 
View attachment 2556498
View attachment 2556499
View attachment 2556500
View attachment 2556501
View attachment 2556502
Ubarikiwe sana mama,japo mnatengwa na majitu yasiyoshiba mali za umma na yamekuulia mme wako
 
Kwa io magu rais wa jmt alikua na njaa mpaka akaingia mgogoro na wadogo zake kisa kugombea ardhi
hapo chato

Dah mda mwingine tumieni hata akili kufikiri, ila uzuri huku Kila mtu kajificha nyuma ya keyboard, mtaani stori za kijinga kama hizi watu hawakawii kukutia vibao
Na unakuta huyu ni mtu mzima wa kuitwa Baba/Mama na ana familia yake
 
Hapo ni ukweni kwake, rubambangwe chato.

Magu kutaka kujimilikisha hapo kwao ndiko kulipelekea kuwasweka ndani wadogo zake na akawafukuza.

Bifu likamalizka alipokuwa rais, teeth walikuwa wanayasovu mambo kimyakimya.
We jama achuki yako hata shetani amekaa pembeni anakushangaa muache jpm apumzike kwa amani mimi sio mtetezi wake lakini unaonekana na roho mbaya
 
Mtu ambaye alikuwa karibu naye muda wote aliishi kwa hodu kubwa na sonona hata mwili ulishindwa kunenepa,ameanza kunenepa baada ya jamaa kufa,je wewe kiroboto hujiulizi badala ya kubaki kupiga kelele za kumtetea huyo marehemu!
Unene ni ishara ya kutokuwa na hofu na sonona!!? 😳

Tuna safari ndefu sana kama taifa katika kupambana na adui ujinga.
 
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023.

Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote kujiepusha kabisa na mambo yanayoweza kuathiri maendeleo yao kimasomo.

Mama Magufuli amesema mambo mengi ya Kisasa hususan ya mitandao yamekuwa yakitengua mawazo chanya ya wasichana, na kuwashawishi waishi maisha ya mtandao ambayo mengi yao si maisha halisi.

“Kwa hiyo binti zango elekezeni akili, maarifa na juhudi katika masomo na sio mambo mengine yanayoweza kuathiri maendeleo yenu kimasomo kama vile mambo ya mitandao ambayo mengi sio yenye kuonesha maisha halisi”, alisema Mama Magufuli leo Machi 18, 2023 nyumbani kwake Chato, Mkoa wa Geita.

Mjane huyo wa Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiongea machache baada ya kutoa misaada ya taulo za wasichana na Baiskeli za magurudumu kwa Shule tatu za Sekondari za Wasichana zilizomo wilayani Chato.
View attachment 2556498
View attachment 2556499
View attachment 2556500
View attachment 2556501
View attachment 2556502
Mwache Mama Janeth apumzike alisota sana enzi hizo.
 
Back
Top Bottom