Tundu Lissu: Kama kuna Wake wa Viongozi wakuu wa CHADEMA kwenye wale wabunge 19 hayo ni mambo binafsi chama hakiwezi kuingilia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kama ni kweli kwenye lile kundi la wabunge 19 tuliowafukuza kuna Wake wa Viongozi wao, hayo ni masuala binafsi chama hakiwezi kuingilia.

Tundu Lissu alikuwa akijibu swali la mwandishi Chief Odemba aliyetaka kujua ukweli wa tuhuma hizo na hatua ambazo chama kimechukua.

Tundu Lissu amesema kuna mambo mengine ni ya chumbani hayo siyo sehemu ya mjadala.

Chanzo: Star tv

Jumaa kareem!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kama ni kweli kwenye lile kundi la wabunge 19 tuliowafukuza kuna Wake wa Viongozi wao, hayo ni maswala binafsi chama hakiwezi kuingilia

Tundu Lisu alikuwa akijibu swali la mwandishi Chief Odemba aliyetaka kujua ukweli wa tuhuma hizo na hatua ambazo chama kimechukua

Tundu Lisu amesema kuna mambo mengine ni ya chumbani hayo siyo sehemu ya mjadala.

Source Star tv

Jumaa kareem!
Namuunga mkono Lissu, mambo ya chumbani yajadiliwe chumbani na sio sebuleni, the right to privacy za watu ziheshimiwe!.

Kitu mimi nisichokubali ni kitendo cha Chadema kuwafukuza na kuwafutia uanachama wa Chadema kinyume cha katiba ya Chadema, kosa lao kubwa ni majina yao yamefikaje NEC kupata uteuzi?.

Mtu mnashea nae bed, aamkie kuapishwa Dodoma huku wewe huvijui?!. Hii ni kweli?.

Mimi nimewashauri CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao na nikasema wazi Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
P
 
Na Mtu atoke rumande alipokuwa anashikiliwa moja kwa moja aende kuapishwa hii NI kweli kama hawakuwa wabunge WA MCHONGO?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kama ni kweli kwenye lile kundi la wabunge 19 tuliowafukuza kuna Wake wa Viongozi wao, hayo ni masuala binafsi chama hakiwezi kuingilia

Tundu Lissu alikuwa akijibu swali la mwandishi Chief Odemba aliyetaka kujua ukweli wa tuhuma hizo na hatua ambazo chama kimechukua

Tundu Lissu amesema kuna mambo mengine ni ya chumbani hayo siyo sehemu ya mjadala.

Chanzo: Star tv

Jumaa kareem!
Hapo ndipo unafiki wa kisiasa unapoanzia lissu anajifanya hajui wakati nae ni mmoja wapo katika wamiliki wa hao wanawake aseme suu tumuanike!
 
Namuunga mkono Lissu, mambo ya chumbani yajadiliwe chumbani na sio sebuleni, the right to privacy za watu ziheshimiwe!.

Kitu mimi nisichokubali ni kitendo cha Chadema kuwafukuza na kuwafutia uanachama wa Chadema kinyume cha katiba ya Chadema, kosa lao kubwa ni majina yao yamefikaje NEC kupata uteuzi?.

Mtu mnashea nae bed, aamkie kuapishwa Dodoma huku wewe huvijui?!. Hii ni kweli?.

Mimi nimewashauri CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao na nikasema wazi Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
P
Sijakuelewa; juu unasema "mambo ya chumbani yaachwe chumbani", chini unasema; "mtu unalala nae kitandani kesho aamkie kuapishwa Dodoma wewe usijue kweli"?!

Naona kumbe basi kuna haja ya kuyajadili haya mambo hata kama yana uhusiano na chumbani!.

Ok, wacha tuyajadili; kwa mtazamo wangu nahisi hayo mambo ya chumbani yanaweza kupelekea kuwepo jitihada za chini chini kufanyika ili kutafuta namna ya kuwasamehe wale wanawake, either kwa wao kuomba msamaha, hasa wakiwa wameshatimiza malengo yao ya kuwepo bungeni na kula posho na mishahara..

Au, kupitia maridhiano yanayoendelea kati ya Chadema na CCM, hapa pia wanaweza kuja na lugha za kwenye maridhiano lazima "upate kidogo na ukose kidogo", hivyo kuwafungulia mlango waingie ndani hao wanawake wasaliti.
 
Namuunga mkono Lissu, mambo ya chumbani yajadiliwe chumbani na sio sebuleni, the right to privacy za watu ziheshimiwe!.

Kitu mimi nisichokubali ni kitendo cha Chadema kuwafukuza na kuwafutia uanachama wa Chadema kinyume cha katiba ya Chadema, kosa lao kubwa ni majina yao yamefikaje NEC kupata uteuzi?.

Mtu mnashea nae bed, aamkie kuapishwa Dodoma huku wewe huvijui?!. Hii ni kweli?.

Mimi nimewashauri CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao na nikasema wazi Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
P
Pascal
===================================
Kitu mimi nisichokubali ni kitendo cha Chadema kuwafukuza na kuwafutia uanachama wa Chadema kinyume cha katiba ya Chadema, kosa lao kubwa ni majina yao yamefikaje NEC kupata uteuzi?.

Kwani majina kufika NEC si inatakiwa barua iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa Chadema? Katibu Mkuu wa Chadema anasema hakusaini Barua yoyote na kupeleka NEC, case closed. Fraud ichunguzwe, hii Serikali ya Tanzania imewahi kufanya vitu fake vingapi ambavyo itashindwa? You are not realistic.

Mtu mnashea nae bed, aamkie kuapishwa Dodoma huku wewe huvijui?!. Hii ni kweli?.
Katika kesi za mauaji, rape, nk; watuhumiwa walio 90% kama siyo 100% ni wale wanaokujua, ambao mko karibu yako. Mke, mjomba, rafiki, Jirani nk. Kwani wewe unaona Ajabu gani hapo kama mke alimsaliti mume? Both possibilities kuwa mume alijua au hakujua!!!
 
Namuunga mkono Lissu, mambo ya chumbani yajadiliwe chumbani na sio sebuleni, the right to privacy za watu ziheshimiwe!.

Kitu mimi nisichokubali ni kitendo cha Chadema kuwafukuza na kuwafutia uanachama wa Chadema kinyume cha katiba ya Chadema, kosa lao kubwa ni majina yao yamefikaje NEC kupata uteuzi?.

Mtu mnashea nae bed, aamkie kuapishwa Dodoma huku wewe huvijui?!. Hii ni kweli?.

Mimi nimewashauri CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao na nikasema wazi Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
P

Na yule aliyetoka gerezani usiku usiku ndugu zake walijua kama anatolewa? what if Mdee aliwaambia wa keep down low(Nobody has to know).
 
Back
Top Bottom