Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mratibu wa Mtandao wa Utetezi wa Haki za Binadamu Onesmo Olengurumwa amewashauri Viongozi wa Vyama vya Upinzani kutosimamisha mgombea Urais 2025. Olengurumwa amesema Wapinzani wajikite kwenye...
10 Reactions
141 Replies
6K Views
Nikitazama Vuruga za wenzetu pale Kenya, kule South Afrika, Senegal na Tunisia naona utulivu uliopo Tanzania kwasasa unaweza kuwa kasi mpya ya Tanzania kukua kiuchumi. Ukitazama figure ya...
2 Reactions
12 Replies
908 Views
Baada ya kuchaguliwa vijana 812 wa awamu ya kwanza kwenda kwenye mafunzo ya kilimo, Leo kazi imeanza kwa mafunzo ya uandaaji na uzalishaji wa miche katika kituo atamizi cha Bihawana jijini Dodoma...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakika wakati umefika kwa serikali ya rais samia kutujibu hili swali. Utawala katili wa awamu ya tano ulipeleka muswasda bungeni kutaka viongozi wafuatao wawe na kinga ya kutoshtakiwa hata kama...
5 Reactions
11 Replies
951 Views
Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya...
24 Reactions
138 Replies
12K Views
Kuna Mkutano Mkuu wa Baraza la Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti ambao unafanyika katika Hoteli ya Edema Manispaa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu, Katiba Mpya ni kilio cha Watanzania kwa hivi sasa. Tatizo la katiba iliyopo ni la muda mrefu sana, karibia miaka 60 ya Uhuru. Nchi imekuwa na Marais 6 kwa sasa, hakuna Rais...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Mikutano imeruhusiwa na Mama lakini mchague kwa makini nini mtakwenda kuwaambia wananchi kwenye majukwaa ya kisiasa. Mbowe aliwaambia wananchi wanaomsikiliza kuwa Watanzania hawawezi kwenda...
11 Reactions
94 Replies
5K Views
Nawatakia Waislamu wote Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Katika mwezi huu wa ibada na toba tuendelee kuiombea nchi yetu amani, upendo, mshikamano, utulivu na haki; nguzo zenye kuleta...
2 Reactions
9 Replies
897 Views
Mdude CHADEMA, kama alivyo Tundu Lissu, ni miongoni mwa binadamu wachache sana wenye ujasiri na walio tayari kukabiliana na hatari iliyo mbele yao kwa lengo la kupigana kile wanachokimimi ni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania. Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu. Kuna kimya...
75 Reactions
197 Replies
24K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Pindi Chana ameongoza kikao cha Menejimenti na Wakuu wa Taasisi wa Wizara hiyo, kupitia taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara kwa mwaka...
1 Reactions
3 Replies
652 Views
Lile Lengo la Serikali la kumpa kila Mwalimu kishikwambi limegonga mwamba katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Ambapo sasa mwalimu ili upate kishikwambi lazima uwe kwenye categori ya uongozi...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Leo nikiwa zangu Maeneo ya Mtaa wa Isevya mjini Tabora nimekutana na mlinzi mmoja wa shule ya sekondari ya serikali akaniambia ya kwake ya moyoni kuwa ana miezi miwili sasa hajalipwa yaani wa Saba...
1 Reactions
7 Replies
816 Views
Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa. Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani...
11 Reactions
78 Replies
4K Views
Madiwani 41 wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wameandika barua ya kumkataa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Kastory Msigala wakimtuhumu kufanya maamuzi binafsi kupitisha baadhi...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema awamu ya 5 Hakukuwa na Nguvu ya Mjadala ya kukosoa Ili kupata kilicho Bora.. Bashe alikuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa Mpango wa kuwawezesha Vijana na...
17 Reactions
210 Replies
7K Views
Hiki ni kipindi cha mifungo kwa imani zote yaani Wakristu na waislamu. Ni kipindi ambacho viongozi wamekua wakisisitiza kutokupandisha bei ya bidhaa. Kauli hii ya msisitizo inakolezwa na na...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
Kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuwaachia viongozi wa chini wafanye mikutano ya hadhara kwenye maeneo yao kimeamsha upya hamasa kwa wanachama wake, kitendo hiki kinatafsiriwa kama ni...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Upinzani katika maana ya kawaida ni kutofautiana kwa itikadi na misimamo,katika ulimwengu wa siasa ukiwa ni mtu wa kuyumbishwa na kutokuithamini imani na misimamo yenu kama chama basi tambueni...
0 Reactions
3 Replies
383 Views
Back
Top Bottom