Kama unataka kucheka basi we cheka tu, lakini habari mpya ndio kama ulivyosikia, na wala si kama mlivyovumisha.
Waziri amesema kulikokuwa hakuna mjadala wa kilimo ni huko Twitter Space, huko...
Chama kimepata pesa ni vyema kutumia kwenye mambo mengi ya kujengaa chama, lakini kila chama kikipata pesa Kuna kiongozi mkubwa kabisa wa hiki chama huibuka na kusema alikikopesha.
Hii pesa...
Inadaiwa kuna kundi la Wahafidhina kutoka Chadema na CCM ambao wamedhamiria kukwamisha Maridhiano ya mh Rais Samia na Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe
Kundi hilo la Wahafidhina wamo Mawaziri...
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu na vitabu vyote vya Mungu imeandikwa hivi, “MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI”.
Nimeona nianze na nukuu hiyo ili kuweka kumbukumbu ya maonyo ya Mungu juu ya dhambi za...
Salama wakuuu. ..
Ni ukweli usione na shaka kwamba pamoja na mapungufu yake hayati Magufuli alikua na uthubutu mkubwa WA kuanzisha miradi ya kikmkakati
Miradi hii ambayo ni pamoja na reli ya...
Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM...
Tunakumbushana tu kama wapiga kura kule tulikotoka na tunakokwenda.
CHADEMA ilisimamisha mgombea Urais kwa mara ya kwanza mwaka 2005 na aliyegombea alikuwa mh. Mbowe na kwa busara za kiuongozi...
KUFUFUA ATCL USHAURI WANGU:
Serikali ya awamu ya tano imeiamua kununua ndege kufufua shirika letu la ATCL ambalo lilikuwa mfu.Zimekuja ndege mbili kuna nyingine zinazidi kuja nazipongeza hizi...
DIRA YA TAIFA YA KUHAMIA KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUZINDULIWA MWEZI JUNI
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, mwezi Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira...
Kama tunavyokumbuka serikali ilifanya zoezi la upimaji wa viwanja maarufu kama 20,000.
Zoezi lilienda vizuri na upimaji ulifanyika vizuri kwa kuacha baadhi ya maeneo kuwa ya wazi kama ilivyo...
Wakati wa uchaguzi wa jirani na ndugu zetu kuna baadhi ya wenzetu Watanzania walisifu sana kuwa wenzetu wako mbali kidemokrasia tujifunze kutoka kwao lakini kwa yanayoendelea kama mambo yenyewe ya...
Ninajua machache juu ya Hayati Rais Magufuli ni imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mwamini, sasa kiundani zaidi basi ni Mwenyezi Mungu pekee...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma kujibu kwa wakati barua za masuala...
Katika miaka miwili ya uongozi wa awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Halmashauri nchini zimevuka malengo ya makusanyo ya mapato yaliyowekwa.
Mwaka...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) ametembelea Ofisi za Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Dodoma, kwa lengo la kujionea utekelezaji mzima wa...
Wito umetolewa kwa wataalamu wa afya nchini kuhakikisha wanatumia matokeo ya tafiti wanazofanya kuboresha mifumo ya afya nchini.
Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam na Dkt. Hussein Mwinyi...
Kama unataka kumtawala Muafrika bila kutumia akili nyingi wewe fanya vitendo vya propaganda na maigizo.
Mwendazake na hata Mwalimu walitumia sana hili kujifanya analima na wanavijiji, kutembea...
Yah salaam wakuu.
Huu muendelezo wa kauli za Lema kwa watu wenye kichwa cha bata wataona jamaa kama anatudharau lakini lahasha jamaa anatupigia alarm tuamke.
Lema anajaribu kutuambia tangu...
*Ni yale yanayotengenezwa nchini Korea Kusini kwa ajili ya SGR
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.