Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu...
12 Reactions
132 Replies
13K Views
Jakaya Kikwete alishauri akiwa Rais kwa CCM kuhusu matumizi ya nguvu kujibu hoja kuwa hayasaidii zaidi ya kuharibu. Sasa naona Rais Samia system yako imeshindwa kuelewa ujumbe huu nawe hutumii...
10 Reactions
19 Replies
3K Views
Serikali imeamua kuzima mjadala wa Bandari kwa kishindo Kamata kamata inaendelea Zamu hii Dr. Slaa akamatwa leo jumapili tarehe 14/08/2023....
7 Reactions
375 Replies
22K Views
Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana. My take: 1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi...
12 Reactions
28 Replies
4K Views
Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila mtu alikula...
41 Reactions
192 Replies
9K Views
Tungekuwa tupo katika nchi zilizostaarabika, wakati huu, uongozi wote wa Jeshi la Polisi ungekuwa umeshaondolewa kwa mambo ya ajabu yanayofanywa na jeshi hili yanayoashiria kukosekana kwa weledi...
5 Reactions
11 Replies
976 Views
Sekta ya Usafirishaji Abiria imekuwa kwa kasi sana na migogoro baina yao inazaliwa kila siku CCM mnapaswa kuingilia kati msiwaachie LATRA Peke yake Sasa kuna toleo Jipya la Bajaj zinazobeba...
2 Reactions
6 Replies
712 Views
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake. Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana...
15 Reactions
129 Replies
7K Views
Nianze kwa kunukuu tangazo nililokuta Bagamoyo, nilipokwenda katika shughuli zangu za kutoa ushauri kuhusu maendelezo bora ya ardhi eneo la makurunge ili kunogesha mjadala katika makala yangu leo...
7 Reactions
15 Replies
6K Views
Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi . Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia, kila kitu ni shwari. Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Friends and Our Enemies, Nashindwa kabisa kuvielewa hivi vyombo viwili vya dini ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa mstari wa mbele kuikemea serikali kwa niaba ya jamii ya watanzania...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Hii nchi bado ina rule of law ila watu wachache ambao wana maslahi binafsi wanashindwa kufata na kusimamia sheria kwa personal benefits zao. Tunaomba Waziri Mkuu Majaliwa, mtumishi wa watu uende...
0 Reactions
2 Replies
580 Views
Kama polisi kesi ya wakina Dr. Slaa wameshindwa kuifikisha mahakama kwa karibia wiki sasa je wakipewa jukumu kama waliopendekeza akina Haki Jinai nchi itasogea? Kwamba polisi achunguze madawa...
2 Reactions
1 Replies
681 Views
Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao. Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Miaka 11 iliyopita niliandika makala mitandaoni nikipendekeza Ikulu ya Dar es Salaam ihamishwe mahali ilipo Magogoni jijini Dar es Salaam, nilipendekeza wazo la Mwalimu Nyerere kuhamishia ikulu...
1 Reactions
3 Replies
860 Views
Ndugu wajumbe, Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi...
65 Reactions
163 Replies
12K Views
Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini...
17 Reactions
63 Replies
4K Views
Je ngao/nembo ya Taifa imebadilishwa? Ni moja kati ya maswali ambayo yanaulizwa sana na wadau wengi wakitaka kufahamu kuhusu nembo inayoonekana kwenye mimbari (podium) ya Rais wa Jamhuri ya...
5 Reactions
28 Replies
7K Views
Back
Top Bottom