Ukombozi Mpya Tanganyika after 2015.

Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,805
2,000
Ndg Wapambanaji, Wadau, Wapinga uzarmu na ukandamizaji wa kizazi cha leo na kesho, Wazalendo wa kweli, Wapinga rushwa na dhurma, Tulio kosa Ajira kwa sera mbovu za Taifa hili zuri, Tulio kosa Elimu kutokana na sera mbovu za ccm.
Woote kwa pamoja tuseme yatosha sasa!
Tunahtaji kurudisha heshima, utajiri wa maliasiri, Raslimali za Nchi yetu zilizopokwa ama kwa uzembe au udhaifu na Rushwa iliyokithiri ndani ya tawala za ngazi zote za Nchi yetu.
Kila kitu kipo sawa na Wazalendo wachache sana bado tunaendelea kuconnect dots kwa Wizara na Taasisi nyeti zote za Serikali mpaka Ikulu!
Amini amini nawaambia bila kubadili uongozi wa serikali ya chama kikuu (CCM) the year2015 tutaenda vitani na tutatetea sura ya Nchi siyo chama flani cha siasa.
Twendeni vitani wadau, tusilale au kutshwa kwa mabomu na risasi!
Nawasilisha....
 
Kasililwa

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
239
195
Kila la kheri wapambanaji.2014 ianze kutoa mwelekeo.Solidarity forever,kulalamika tu hakuondoi tatizo.Tuamue kupambana na tatizo.
 
bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,035
2,000
Sasa yatosha jamani twendeni tumenyanyaswa vya kutosha ,tumeonewa vya kutosha,tumedhalilishwa vya kutosha na sasa tunataka mabadiliko.
 
Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,805
2,000
Kachukue mizinga ya gongo mtaa wa ufipa

Unaumwa! huna mwelekeo na mwili wako mzima umejaa magamba magumu zaidi ya mamba!
haijalishwa how fully you been protected or assured of life spany! we will destroy you very vividily!
we gonna have heavy weapons dat wont be carring how deeply you are coated with MAGAMBA! tutawapiga n completely you gonna evacuate our beloved country!
MAKAMANDA LETS JOIN HANDS N ALTOGETHER SAY 'ALUTA CONTINUA'
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,382
2,000
Hata mkitaka kuyaondoa maccm kijeshi inwezekana tutawaunga mkono vizuri, tena kwa kuwa government imekuwa corrupt mtapewa morale and materials support even training. We gonna train you effectively more than you know.
 
ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
1,652
1,250
Ndg Wapambanaji, Wadau, Wapinga uzarmu na ukandamizaji wa kizazi cha leo na kesho, Wazalendo wa kweli, Wapinga rushwa na dhurma, Tulio kosa Ajira kwa sera mbovu za Taifa hili zuri, Tulio kosa Elimu kutokana na sera mbovu za ccm.
Woote kwa pamoja tuseme yatosha sasa!
Tunahtaji kurudisha heshima, utajiri wa maliasiri, Raslimali za Nchi yetu zilizopokwa ama kwa uzembe au udhaifu na Rushwa iliyokithiri ndani ya tawala za ngazi zote za Nchi yetu.
Kila kitu kipo sawa na Wazalendo wachache sana bado tunaendelea kuconnect dots kwa Wizara na Taasisi nyeti zote za Serikali mpaka Ikulu!
Amini amini nawaambia bila kubadili uongozi wa serikali ya chama kikuu (CCM) the year2015 tutaenda vitani na tutatetea sura ya Nchi siyo chama flani cha siasa.
Twendeni vitani wadau, tusilale au kutshwa kwa mabomu na risasi!
Nawasilisha....
Nenda vitani kwenye vita ya ndani ya familia yako. Familia ya kitanzania haioni tija kwenye mawazo yako finyu na potofu. Hujavuka mpaka kurudi kwenu tu unasubiri uondolewe kwa kijiko.
 
ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
1,652
1,250
Hata mkitaka kuyaondoa maccm kijeshi inwezekana tutawaunga mkono vizuri, tena kwa kuwa government imekuwa corrupt mtapewa morale and materials support even training. We gonna train you effectively more than you know.

Train familia yako ikushughulikie kwa maovu unayoitendea. WaTZ hatutaki mlivyozoea huko kwenu msituletee hapa kwetu. Rudi kwenu.
 
ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
1,652
1,250
Unaumwa! huna mwelekeo na mwili wako mzima umejaa magamba magumu zaidi ya mamba!
haijalishwa how fully you been protected or assured of life spany! we will destroy you very vividily!
we gonna have heavy weapons dat wont be carring how deeply you are coated with MAGAMBA! tutawapiga n completely you gonna evacuate our beloved country!
MAKAMANDA LETS JOIN HANDS N ALTOGETHER SAY 'ALUTA CONTINUA'

Sera yenu ya Gongo hiyo inawaharibu
 
Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,805
2,000
Sera yenu ya Gongo hiyo inawaharibu

Mimi sio mtumwa kama wewe, nakomaa kivyangu naielewa vizuri Nchi yangu na nazijua shida za Watz kuliko wewe kula kulala ambaye unatafuniwa kila kitu.
Hujui ni vijana wangapi wanasota mtaani hawana ajira na hawaijui kesho yao.
Nchi imepoteza mwelekeo watawala wanagawana raslimali zetu hawana simile,hawana hofu ya Mungu na wamepoteza uzalendo!
Je, unataka tuendelee kunyamaza?
 
ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
1,652
1,250
Mimi sio mtumwa kama wewe, nakomaa kivyangu naielewa vizuri Nchi yangu na nazijua shida za Watz kuliko wewe kula kulala ambaye unatafuniwa kila kitu.
Hujui ni vijana wangapi wanasota mtaani hawana ajira na hawaijui kesho yao.
Nchi imepoteza mwelekeo watawala wanagawana raslimali zetu hawana simile,hawana hofu ya Mungu na wamepoteza uzalendo!
Je, unataka tuendelee kunyamaza?

Kisima chako kina toa Maji ya chumvi, kunywa maji ullage.
 
lupe

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
5,657
0
Mimi sio mtumwa kama wewe, nakomaa kivyangu naielewa vizuri Nchi yangu na nazijua shida za Watz kuliko wewe kula kulala ambaye unatafuniwa kila kitu.
Hujui ni vijana wangapi wanasota mtaani hawana ajira na hawaijui kesho yao.
Nchi imepoteza mwelekeo watawala wanagawana raslimali zetu hawana simile,hawana hofu ya Mungu na wamepoteza uzalendo!
Je, unataka tuendelee kunyamaza?

Mmmhh kazi Kweli kweli
 
jzm-teak

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,628
1,195
Mimi sio mtumwa kama wewe, nakomaa kivyangu naielewa vizuri Nchi yangu na nazijua shida za Watz kuliko wewe kula kulala ambaye unatafuniwa kila kitu.
Hujui ni vijana wangapi wanasota mtaani hawana ajira na hawaijui kesho yao.
Nchi imepoteza mwelekeo watawala wanagawana raslimali zetu hawana simile,hawana hofu ya Mungu na wamepoteza uzalendo!
Je, unataka tuendelee kunyamaza?

mkuu umenena, nimeshuhudia doctor akiomba rushwa live,
hali ni mbaya sana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom