Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,133
20,296
Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.

Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.

Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.

Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli kwa mambo mengi lakini machache yakiwa ni haya.
1. Sifa ya kuchapa kazi.

2. Sifa ya kutokata tamaa na kuyumbishwa.

3. Sifa ya kupenda elimu na kujifunza kila wakati.

4. Sifa ya uzalendo( hapa wanasema kuna tofauti ndogo tu)......hii sio mada ya leo.

5. Sifa ya kulinda rasilimali za Nchi.

Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna kila dalili wapenzi wa Magufuli na Wapenzi wa Tundu Lissu ndani ya vyama, nje ya vyama na hadi kule ndani ndani wataunganisha Nguvu mnamo 2025.

Ngoja tuone.
 
Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.

Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dr Magufuli na wengine wakisema hakuna wasi wasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa...
Pia watu hawa walitofautiana sana kwa mambo kadhaa.....lakini wazalendo wanasema wataweka tofautu hizo pembeni kwa maslahi ya Taifa hapo baadae
 
Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.

Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dr Magufuli na wengine wakisema hakuna wasi wasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa...
Team jiwe let u join upande wa mabadiliko, "no development without changes!"
 
Tofauti kubwa ya Shujaa Magufuli na Jasiri Tundu Antipas Lisu ni kwamba JPM hakuwaogopa kabisa Wazungu lakini Lisu anawasujudia!
Na kinyume chake ni sawa na zaidi! Zingatia kuongezeka kwa deni la taifa kutoka tirilioni 29 had tirilioni 66 ndani ya miaka 5 tu!
 
Back
Top Bottom