Airtel money mnazingua

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,961
2,138
Tangu juzi nimekuwa nikituma hela kwenda kwa wadau wangu kutokea mpesa na tigo pesa kwenda airtel money. Cha ajabu hela upande wangu imekatwa, lskini huko iendako kupitia airtel money hela haifiki. Ukiuliza ubaambiwa usubiri saa 24 zipite. Airtel monet mnawazingua wateja wenu.
 
Hata mimi imenikuta juzi nimetuma kutoka tigo pesa kwenda Airtel money hazijafikia mlengwa
 
Hata Mimi pia Kuna shida katika mifumo Yao si unajua wahindi mambo Yao janja janja nyingi
 
Wame fungia account yangu baada ya pesa kuingia .et hadi nifike dukani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom