Watanzanzia wanajua fika wanaibiwa na hawamtakki raisa Samia ila basi tu

Huku watu kama wewe wanachukuliwa sana angalia yasikukute mkuu, tuko jehanamu ndogo
 
Inawezekana mama sio mwizi kabisa, bali amezungukwa na majizi makubwa na ameshindwa kuwadhibiti kwani ndio wakubwa ndani ya CCM.
2025 tumsaidie Mama SSH kwa kupata mwamba aliyenyooka kama Tundu Lissu apambane na majizi haya.
 
Hata sakata la umeme wanajua ni mchongo tu wa kihuni.

Wanajua fika huyu mama hana sauti ya kuendesha nchi

Amedhibitiwa na wahuni.

Watanzania wote hawamtaki na wanajua fika hafai ila basi tu.
Tafadhali usiwasemee wengine ni wewe tu na roho mbaya inayokuandama
 
Back
Top Bottom