Kwa pamoja Jukwa la Katiba Tanzania, Tume ya haki za Binadamu, Tanganyika Law society na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wametoa tamkonna kuitaka mamlaka za serikali kuwaachia...
10 August 2023
WAISLAM WAIKAANGA SERIKALI MTAALA ELIMU YA DINI "KUHUSU BANDARI WAMETUITA KWANINI SIO HILI".
Viongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania viongozi wake Sheikh Ponda...
Nauliza kama boss ana taarifa, au habari inayohusu kamata kamata ya askari wake?
Kama anayo taarifa, je amechukua hatua gani kuwasaidia, au ukishamlipa mtu akufanyie kazi basi litakalompata huko...
Tulitegemea utoe kauli juu ya kukamatwa Kwa hawa akina Slaa et al. Unakwenda Ikulu kupokea viwanja na kuomba uteuzi.
Uliaminiwa sana na waliikuchagua, sasa umewasaliti.
Kwa vipade vya fedha...
WATU WACHACHE WANATAFUNA RASILIMALI ZA CHADEMA.
1. Lazima tukubali kuwa Wapinzani kuongea kuipinga Serikali ni jukumu lao la Msingi. Ndio maana nilipinga kabisa Maridhiano kwa kuwa yalikuwa...
Tamko kuhusu ukamatwaji na kuwekwa kizuizini kwa Dkt. Willbrod Peter Slaa na wenzake.
Chama cha ACT Wazalendo kupitia Msemaji wa Sekta ya Mambo ya Ndani ya Nchini, tumepokea Taarifa ya Jeshi la...
Zaidi soma:
1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati...
KUWA UPINZANI TANZANIA NI KUJIPA MAUMIVU TU.
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia jinsi Viongozi wa Upinzani Tanzania wanavyowatumia vibaya wanachama wao. Nimekuwa nikiangalia namna ambavyo baadhi...
"Mhe. Rais SuluhuSamia tunakushukuru sana kwa uongozi wako bora uliojaa utu utawala bora, malengo mema na bora kabisa ya kujenga maridhiano na kuleta maridhiano ya mifumo, sera na sheria na...
Siyo kweli kwamba uwekezaji hauna faida au hasara Kwa mstakabali wa Taifa. Lakini hoja ya bandari imefunua mioyo ya wengi na kuonesha hatari iliyoko katika nchi yetu.
Tanzania hatutakuja...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Watuhumiwa wanaoshikiliwa na Polisi mh Mwabukusi, Dr Slaa na mh Mdude wanapaswa kufikishwa mahakamani au kupewa Dhamana Muda wa kushikiliwa kisheria...
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika...
Moja ya mwasisi wa Tanu na mwana CCM huko mkoani Mbeya amelaani kitendo cha viongozi wa CCM kutumia kodi za wananchi kuzunguka nchini na nje wakisema wanakodisha bandari kwa sababu watanzania ni...
Mipango yoyote ile inayopangwa na mawakala wa shetani dhidi ya ustawi wa Demokrasia nchini Tanzania haitafanikiwa , Mungu siyo fala na anaona kwa macho yake kinachofanyika nchini Tanzania .
Baada...
Uingereza ilikuwa na uchumi mkubwa duniani kwa zaidi ya miaka 200+ kwa kuweza kudhibiti njia za majini na karibu bandari zote ulaya kuanzia Karne 15. Kifupi ilijengwa na uchumi wa bandari...
Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia,
Niseme ukweli...
Ndugu "wafanyakazi na wajasiriamali"...kwa heshima kubwa nawaletea hoja ambayo inagusa mstakabali wa maisha ya kila anayechangia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii (Social Security Funds) yote bila...
Uhaini( treason)the offense of attempting by overt acts to overthrow the government of the state to which the offender owes allegiance or to kill or personally injure the sovereign or the...
Kinachoonekana mpaka sasa, uchaguzi wa mwaka 2024/2025 utakuwa ni uchaguzi wa kihistoria kabisa kuwahi kutokea katika Nchi hii.
Utakuwa ni uchaguzi wa:-
1. Kuikataa mikataba mibovu Nchini.
2...
Peace,
Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.