Hi!
Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye...
Hapa Tanzania wasomi wengi hawajihusishi na siasa, Bali wanajaribu kusimamia taaluma zao japo kwa kuvurugwa na wanasiasa Kila kukicha.
Wanasiasa wengi Tanzania hasa viongozi ndani ya vyama vya...
Watanzania wengi watakumbuka kwamba suala la madini kunufaisha umma wa watanzania limesimamiwa ipasavyo na Mhe. DR. Jakaya Mrisho Kikwete katika kusimamia na kutekeleza Ilani ya CCM kama...
Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia...
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa...
Ukitaka unufaike na matatizo yako basi yageuze upande wa pili.
Sakata la bandari limeibua mengi na sasa linaonekana kutaka kuigawa nchi. Niwaambie kitu? Nchi yetu itakuwa imara zaidi baada ya...
Niliwahi kuandika uzi tishio sana humu ndani kuhusu uwepo wa uhaini nyanda za juu kusini. Leo sitasema chochote ili uzi huu usifutwe kama ule nilikuwa nakumbusha tuu.
Ilipo itishwa kura ya maoni...
Viongozi wa Afrika au watu wenye madaraka ya kuongoza au kusimamia Wananchi wanajisahau sana, lakini nawakumbusha jinai haiozi.
Kama watu mtakuwa na kumbukumbu ya Arbeto Fujimori (Peru)...
Kijana Mzalendo na Mtetezi wa rasilimali za Taifa , shujaa Mdude Nyagali amegoma kutoa maelezo yoyote Kituo cha Polisi baada ya kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za Uhaini .
Mdude...
Wazee tumekwisha rasmi. End of the game.
Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu...
SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI
Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno...
Wengi tunakumbuka wiki kadhaa nyuma ilikuja taarifa kuwa chadema wamepata ofisi mpya Mikocheni. Sijui wamekodi au wamenunu, hilo hatujui maana haikuwekwa wazi.
Swali langu, ni lini Wanahamia hizi...
Ndugu zangu watanzania,
Ni andiko tu ninaloliwasilisha kumfikishia ujumbe mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan chaguo la watanzania na Nuru ya wanyonge.Rais samia...
Mimi naomba kwa wale wote wanaopenda nchi yetu tusibaki kulalamika na serikali yetu ambayo haifanyi lolote kurekebisha mkataba badala yake naomba tufanye hivi
Team ya wasomi wanao taka mabadiliko...
Mahakama huendeshwa na doctrine au itikadi ya haki bila upendeleo.
Kauli tata za Magufuli na Ndugai za kuwakingia watuhumiwa nambari moja ufisadi wa Madini akina Mkapa na JK ni utetezi tosha kwa...
Nakumbuka Chadema iliwahi kutangaza maandamano ya nchi nzima wakiyaita Operesheni UKUTA huku yakipigiwa chapuo na Mange Kimambi na Nyani Ngabu waishio America
Hali ilikuwa tete na siku ya...
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehoji kwanini mkandarasi wa Rea, Newala hachukuliwi hatua ikiwemo kusimamishwa licha ya kuwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme katika baadhi...
Akizungumza huko Karagwe kwenye Kongamano la Mwenge wa Uhuru, Askofu huyo amesema kwamba lengo la kuanzishwa kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru lilikuwa ni kumulika watu wabaya, wezi wa mali za Umma...
Ule upuuzi wa mchonga ulio wafanya mkimbie nchi yenu mliozaliwa na kukimbilia mataifa ya nje bado upo hauja koma.
Upuuzi alio asisi mchonga meno kwa wale walio mpinga na kupinga ideas zake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.