MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Hakika Wajanja Wameamua.Pamoja na Vyombo vilivyopo vya Kudhibiti Wizi lakini WAJANJA bado Wanajipigia MABILIONI ya FEDHA za UMMA.
Kuna WAJANJA wamejipigia MABILIONI ya Shillingi bila UOGA wowote kwani HAKUNA anayekemea wala Kuchukua Hatua.
JUMLA ya BIL. 661 ZIMEPIGWA kwa kutumia NYARAKA za KUGUSHI Fedha ambazo ni KODI, MATOZO wanayokatwa MASIKINI wa Nchi hii pia MIKOPO toka NJE itakayolipwa na Watoto wa hao hao MASIKINI
TANZANIA kweli ni Shamba la BIBI.Wajanja wameamua KULA kwa UREFU wa KAMBA zao.
Nawataka Jumamosi TULIVU.