Vitaandikwa Vitabu vyote Vya Wanasiasa ila Kitabu cha Freeman Mbowe kitakuwa cha kipekee sana na kitabeba Uhalisia wake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,112
Kwa sisi tunaomjua Freeman Aikael Mbowe tokea kabla ya Vita ya Kagera kupiganwa tunakisubiri kwa hamu Kitabu cha Historia ya Maisha yake

Huyu Mwamba amefanya mambo makubwa na ya kushangaza sana katika Historia ya Siasa za Vyama vingi

Binafsi sitamsahau kwa alivyoweza kuwashawishi mzee Lowasa na John Shibuda kuhamia Chadema. Ninaelewa mchango na mizizi ya Wawili hawa Ndani ya CCM mtu " mjinga mjinga" asingeweza kuwashawishi

Na cha kushangaza sana Dr Slaa alitoka Chadema lakini hakuchukua kadi ya CCM hadi leo na akikwama anampiga mizinga Mbowe

Mwamba hana wa kufanana naye Bongo

Nawatakia Sabato Njema!
 
Tukiacha uchama ukanda na ukabila Mbowe hawafikii hata robo ya
1. Mtikila
2. Kaburu
3. Kambona
4. Tundu Lissu
5. John Cheyo
6. Lowassa
7. Masumbuko Lamwai
8. Mrema Lyatonga.

Atawazidi tu kwa kuwekwa mahabusu bila sababu
 
Doa la 2015 pia litachafua kitabu
 
Tukiacha uchama ukanda na ukabila Mbowe hawafikii hata robo ya
1. Mtikila
2. Kaburu
3. Kambona
4. Tundu Lissu
5. John Cheyo
6. Lowassa
7. Masumbuko Lamwai
8. Mrema Lyatonga.

Atawazidi tu kwa kuwekwa mahabusu bila sababu
Ulipaswa umuweke...TUNDU LISSU namba moja.

Siku akili za Watanzania zikiwarudi watamheshimu sana huyu mwamba
 
Kwa sisi tunaomjua Freeman Aikael Mbowe tokea kabla ya Vita ya Kagera kupiganwa tunakisubiri kwa hamu Kitabu cha Historia ya Maisha yake

Huyu Mwamba amefanya mambo makubwa na ya kushangaza sana katika Historia ya Siasa za Vyama vingi

Binafsi sitamsahau kwa alivyoweza kuwashawishi mzee Lowasa na John Shibuda kuhamia Chadema. Ninaelewa mchango na mizizi ya Wawili hawa Ndani ya CCM mtu " mjinga mjinga" asingeweza kuwashawishi

Na cha kushangaza sana Dr Slaa alitoka Chadema lakini hakuchukua kadi ya CCM hadi leo na akikwama anampiga mizinga Mbowe

Mwamba hana wa kufanana naye Bongo

Nawatakia Sabato Njema!
... wewe jamaa akili zako unazijua mwenyewe! Utafikiri unaandika taazia; acha uchuro. Mwamba aishi milele.
 
Back
Top Bottom