📍Igunga, Tabora
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George...
Wakili wa Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Nyagali wanao shikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya...
Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma...
Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa)
Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku atoa ushauri wake sakata la Uwekezaji Bandari " Watanzania hawajaridhika na jambo hili,tulisahihishe ama tuliache kabisa"
----
Natoa...
Mheshimiwa Rais, sisi wakulima wa zao la korosho ni miongoni mwa watu tusiosikilizwa na tunaopigwa danadana kwenye mambo mengi sana, Bila msaada wako hatuwezi kunusurika.
Kwa nia safi Kabisa...
Taarifa iliyotolewa na Wakili wa Dr Slaa inasema kwamba , kabla ya kufikishwa Mahakamani leo Polisi walitaka kuchukua Sample ya Sauti ya Dkt Slaa (Haifahamiki walitaka kuifanyia nini) , ambapo Dkt...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao...
Sijui kwanini sisiemu wanaikana sera yao penzi ya ubinafsishaji na hata kudiriki kujigamba kwenye mikutano yao bandari haziuzwi wala hazibinafsishwi wakati wamebinafsisha.
Kama wapinzani...
Kuna wakati Barack Obama alipokuwa anaelezea kwa nini nchi za Afrika ndiyo zililizo maskini sana Duniani licha ya kuwa na rasilimali nyingi asilia, alisema kuwa tatizo kubwa ni viongozi wa nchi za...
Msajili wa Vyama vya Siasa, amedai wote watakao kiuka kuvunja vikundi binafsi vya ulinzi vya vyama hivo atavifuta.
Amedai kama Katiba zao zinatambua jambo hilo walifanyie mabadiliko haraka...
Hawa walikuwa wanawawakilisha Watanzania walio wengi walioshindwa kuuelewa ama kupata sehemu sahihi ya tafsiri ya aidha ni mkataba ama sio mkataba! Na mahakama ilitoa tafsiri hiyo kuwa ni Mkataba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa...
Bila ushabiki. Kama ungeulizwa nini ushauri wako kwa mama kuhusiana mzozo wa bandari ambao mahakama kuu ilitolea uamuzi? Je, unashauri tuendelee hivi au tukate rufaa?
Je, akili na nguvu...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema.
Pamoja na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu kupongezwa na wadau mbali mbali wa haki za...
Wabunge wameongezewa Posho
Wabunge wamepitisha mkataba wa bandari bila maoni ya wapigaji kura wao majimboni
Wabunge wamekuwa wasemaji wa DP WORLD wanapita na mkutano wa Chongolo kuunadi huo...
Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.