Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
- Awataka watoe ushirikiano kwa wawekezaji wanaoonesha nia ya kuwekeza nchini. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania walioshiriki katika Jukwaa la Tatu la Biashara na Uwekezaji baina...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz M. Abood Leo 22/10/2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha lililoandaliwa na MORO SUPER WOMEN PRESENT tamasha hilo linaitwa WOMEN...
1 Reactions
5 Replies
662 Views
USA, Canada, Russia, Brazili, China, Australia, India, Argentina ambazo ni nchi kubwa zaidi duniani na zilizopiga hatua kubwa za maendeleo zote zinatumia mfumo wa utawala wa majimbo kujiendesha...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Wanabodi, When you are poor, you are just poor!, nikimaanisha ukiwa maskini, wewe ni maskini tuu, unaweza kujikuta unaishi kwa unyonge kutokana na hali yako ya umasikini!. Lakini ukijikubali kuwa...
7 Reactions
31 Replies
6K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kabla Mtanzania hajadanganywa na Mwanasiasa anakuwa tayari ameshajidanganya yeye mwenyewe kwanza Fikiria Chadema wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu kwa Tume ile ile ya Uchaguzi na Wasimamizi wale...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Hivi, tuna serikali ambayo ni responsive kwa wananchi kweli? Mbona dharau kwa wananchi zimezidi kiasi hiki? Ni uvunjifu wa Sheria ya Usalama Barabarani (2002), kifungu cha 19 B (1) na (2) na...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari zenu.. Leo tujifunze kutoka kwa wachina. Tangu 1950s nchi ya Tanzania na china kimaendeleo zilikuwa sawa. Tangu hapo walijitokeza wanafalsafa wakiishauri china wakisema ''taifa ili...
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Baadhi ya maoni ya wadau mbalimbali wa masuala ya kiuchumi yameeleza kuwa nchi inapota kukua zaidi kiuchumi basi uwekezaji katika bandari ni muhimu zaidi katika manufaa hayo. Wakati haijulikani...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa...
23 Reactions
640 Replies
76K Views
Rais Samia ‘atoboa siri’… aeleza sababu zilizomfanya amchague Dkt. Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Ameyasema hayo wakati akizindua vifaa vya uchimbaji madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wananchi wa Mbeya Mjini wamesema wanamsubiri kwa hamu kubwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu katika mikutano ya kuokoa Bandari na Katiba mpya. Mbeya wamedai wao wana Jambo lao na...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuthibitisha kwamba Serikali ya CCM ina shida kubwa ya ukosefu wa watu wenye sifa kuwa mawaziri, leo bungeni Mganga wa kienyeji al maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu amekaimishwa kwa muda...
0 Reactions
82 Replies
13K Views
Yule Rais Hichilema ambae Chadema Huwa Wanajidai ni role model wao anamkubali sana Rais Samia kiasi Cha kumpa heshima ya kuwa mgeni Rasmi. -- Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Dr Tulia Mwansasu PhD akifanikiwa kuwa Spika/Rais wa Bunge la Dunia basi Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kwenye Siasa za Dunia Tayari Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni namba 2 huko Duniani...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Ushirikishwaji wa Sekta Binafsi Katika Shughuli za Uendelezaji na Uendeshaji wa Bandari 229. Mheshimiwa Spika, Ushirikishaji wa Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari zilianza...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, ambayo imeongezwa kipengele cha kuokoa Bandari za Tanganyika, Imeingia rasmi kwenye Kanda...
14 Reactions
49 Replies
4K Views
Nilifikiria kama nchi tungetumia uwepo wa viongozi wa soka wa Dunia kuwashawishi kutembelea mbuga zetu na kuwaomba kupost kwenye websites na page zao za mitandao ya kijamii. Kwa hili naamini...
0 Reactions
3 Replies
380 Views
Back
Top Bottom