Mbeya wamtaka Tundu Lissu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Wananchi wa Mbeya Mjini wamesema wanamsubiri kwa hamu kubwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu katika mikutano ya kuokoa Bandari na Katiba mpya.

Mbeya wamedai wao wana Jambo lao na Tundu Antipas Lissu.

Jambo gani? Ngoja tuone

Nawatakia Sabato Njema 😀
 
Ile mbinu yenu ya kuanzisha migogoro kwenye Vyama vya Upinzani imefikia wapi?

Naona NCCR mumeisha imaliza kabisa.

CHADEMA ni Taasisi IMARA haipenyeki chini ya Uongo wa MWAMBA.
Kwani Lisu ameshaingia Tanzania?
 
Kwani Lisu ameshaingia Tanzania?
Mwambie Maza NO Nusu Mkate

web-image-16.png
 
Back
Top Bottom