Mbunge Abood kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la Women Supporting Women 2023

Oct 8, 2023
37
17
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz M. Abood

Leo 22/10/2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha lililoandaliwa na MORO SUPER WOMEN PRESENT tamasha hilo linaitwa WOMEN SUPPORTING WOMEN 2023 litafanyika kwenye ukumbi wa MBARAKA MWISHEKHE (DDC) kuanzia saa sita mchana
1693940518117.jpg
 
Una moyo wa kuleta story za majizi ya kura huku jukwaani! Kwa kukusaidia tu, hakuna mtu ana muda na hizi story za jizi la kura. Kawapelekee wasiojitambua habari hizi.
 
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz M. Abood

Leo 22/10/2023 anatarajia kuwa mgeni rasimi kwenye Tamasha lililoandaliwa na MORO SUPER WOMEN PRESENT tamasha hilo linaitwa WOMEN SUPPORTING WOMEN 2023 litafanyika kwenye ukumbi wa MBARAKA MWISHEKHE (DDC) kuanzia saa sita mchanaView attachment 2788784
Maonyesho 88 awamu ya pili
 
Back
Top Bottom