Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Natoa ushauri kwa Raisi judge Francis Mutungi hataweza kukubaliwa na wadau hasa wa upinzani na anaonekana kama chawa kuzidi hata Judge. Kwenye kutengeneza katiba ni lazima uanze na team mpya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ule ujasiri wa wanaCCM mtaani kuitetea Serikali na mamlaka zake kwa mbwebwe na majigambo kwasasa unaonekana umepungua na ni dhaifu na wa kiwango cha chini sana. Ni kama vile haupo kabisa. Hii ni...
2 Reactions
4 Replies
605 Views
Hii alisema Freeman Mbowe mwenyewe kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 kwamba Lowassa atashinda kiti cha Rais na yeye atateuliwa kuwa Waziri mkuu. Kilichotokea sote tunakijua!
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa sasa pale CCM kuwa chawa wa Kiongozi mashuhuri ni Sifa na wewe unapata " vichawa" vidogo vidogo Kimsingi Chawa wote wanatoka kwenye Jumuiya za CCM au kwa mfano Chadema wao Chawa hutoka...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Tamko hilo la EWURA linalofafanua kuhusu taarifa yao ya Septemba 4, 2023 linakuja muda mfupi tangu Waziri Mkuu akiri Bungeni kuwa kuna changamoto ya upatikanaji wa Nishati hiyo katika baadhi ya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi. Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya...
28 Reactions
171 Replies
10K Views
SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini. Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Nchini Tanzania kwa sheria za sasa , shambani kwako kukikutwa madini , basi haraka sana madini hayo na shamba lako hilo vinageuzwa kuwa mali ya serikali , na baada ya muda mfupi wataletwa...
19 Reactions
69 Replies
4K Views
Mchanganuo. - Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine. - Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama...
3 Reactions
9 Replies
809 Views
https://www.youtube.com/watch?v=J0ZiggITXdI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki chakula cha jioni na Afrika Food Prize - Gala Dinner alichowaandalia wageni...
2 Reactions
2 Replies
865 Views
Wakuu, Wagosi wa kaya wamo vibarazani huku jiji lao limetelekezwa kurejeshewa hadhi yake ya zamani. Reli waliboreshewa na hayati JPM mpaka stesheni ilikarabatiwa ikabaki kidogo treni ianze safari...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema. Ni...
29 Reactions
231 Replies
20K Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma, Tanzania. Kwa heshima kubwa, ninaleta pendekezo langu kuhusu njia mpya ya kushughulikia changamoto ya uhaba wa mafuta na uhaba wa dola nchini...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Na Kizitto Noya Mwananchi BAADHI ya wahadhiri wa Sayansi ya Siasa na Jamii katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wametabiri kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaelekea kufa, kwa kuwa dalili zimeanza...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe...
1 Reactions
1 Replies
697 Views
Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
0 Reactions
9 Replies
994 Views
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani? Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia...
20 Reactions
79 Replies
9K Views
Leo asubuhi nikiwa katika pitapita yangu nikakutana na mjuba mmoja ambaye ni chawa wa mheshimiwa mmoja ninamfahamu kwa sehemu. Akaniuliza kwa kunitania, kaka una habari mjengoni kitu kimepanda...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom