benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
IMG-20231021-WA0246.jpg

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano.

Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia amekubali mwaliko wa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi ya Zambia, yatakayofanyika Oktoba 24, 2023, jijini Lusaka.

Mbele ya Waandishi wa Habari, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba, amesema maeneo ya kipaumbele katika ziara hiyo ni pamoja na namna bora ya kuboresha miundombinu inayounganisha Tanzania na Zambia ili kufikia faida za kiuchumi.
IMG-20231021-WA0248.jpg

IMG-20231021-WA0241.jpg

Aidha, ziara hiyo pia inategemewa kuangazia namna bora ya kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa wafanyabiashara wa Tanzania na Zambia pamoja na kuibua fursa mpya za ushirikiano kati ya nchi hizo mbili kwa kuzingatia Zambia ni lango la bidha zinazotoka Tanzania kwenda Zimbabwe na Congo.
 
View attachment 2788339
View attachment 2788342

Ameona aende kula bata huko Zambia kuliko kuhudhuria mkutano wa kilele wa kimataifa kuzungumzia amani duniani unaofanyika Misri? Aibu
 
Waziri wangu wa nchi za nje, muda mwingine usiongee politics, walk the talk please, Zambia kwa sasa wamejikita zaidi kwa nchi za kusini, wana barabara nzuri ya kwenda Zimbabwe, Botswana, na barabara hii inawaingizia pesa nyingi mno, tujiulize why DRC anapeleka mizigo yake mingi na kupokea kutokea bandari za kusini na sio Dar?,Zambia uchumi wao unaongezeka mno baada ya ku tap biashara kubwa na DRC, Tanzania tuijenge upya T1 ikiwa ni pamoja tuiwekee tolls, T2 imeshapendeza hadi chinsali, ya kwetu kutokea mbeya hadi tunduma border ni vurugu tupu
 
Ameona aende kula bata huko Zambia kuliko kuhudhuria mkutano wa kilele wa kimataifa kuzungumzia amani duniani unaofanyika Misri? Aibu
Sasa Zambia kuna bata gani mkuu? Kama ni bata si angeenda zenye bata la kweli na akala bata kweli? Zambia kweli ni pa kwenda kulia bata?

Ova
 
Sio muhimu

Hatuna umeme na maji, na vikiwepo ni kwa mgao na bado tunalipoa bili

Hii nchi ya hovyo sana
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano.

Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia amekubali mwaliko wa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi ya Zambia, yatakayofanyika Oktoba 24, 2023, jijini Lusaka.

Mbele ya Waandishi wa Habari, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba, amesema maeneo ya kipaumbele katika ziara hiyo ni pamoja na namna bora ya kuboresha miundombinu inayounganisha Tanzania na Zambia ili kufikia faida za kiuchumi.
View attachment 2788339
View attachment 2788342
Aidha, ziara hiyo pia inategemewa kuangazia namna bora ya kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa wafanyabiashara wa Tanzania na Zambia pamoja na kuibua fursa mpya za ushirikiano kati ya nchi hizo mbili kwa kuzingatia Zambia ni lango la bidha zinazotoka Tanzania kwenda Zimbabwe na Congo.
Kumbe ndo maana yule fisadi papa alisha tangulia kule, maana alipo uyu mama nae yupo, sijui yupo na kitengo gani serikalini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom