Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,571
Wanabodi,

When you are poor, you are just poor!, nikimaanisha ukiwa maskini, wewe ni maskini tuu, unaweza kujikuta unaishi kwa unyonge kutokana na hali yako ya umasikini!. Lakini ukijikubali kuwa wewe ni masikini, na ukaukubali huo umasikini wako kuwa ndio reality ya maisha yako!, utaanza kuishi kwa furaha ndani ya umasikini wako!

Hivi ndiyo ulivyo huu mchakato wa katiba, process nzima tangu mwanzo hadi sasa na hadi hapo itakapopatikana hiyo katiba mpya ya serikali mbili, ni process inayofanyika hivi kutokana na umasikini wetu!, hivyo natoa wito wito kwa Watanzania wote, kwanza tujikubali sisi ni masikini wa kutupwa! Pili tukubali kuwa mchakato huu unaendeshwa hivi unavyoendeshwa kutokana na umasikini wetu, hivyo tuukubali mchakato huu hivi hivi jinsi ulivyo, na matokeo yake ya serikali mbili, kufuatia ule msemo wa mwenye kisu kikali ndie atakula nyama!

Nimesema mchakato wetu huu, unaendeshwa hivi unavyoendeshwa kutokana na umasikini kwa sababu uundaji katiba ni a defined process, na hupitia hatua mbalimbali kama ifuatavyo.
  1. National Convention-Huu ni mkutano mkuu wa taifa unaowajumuisha wawakilishi wa kila sekta, unaweza kuwa na wajumbe 100,000 kutoka kila sekta kila kona, kwa lengo la kupanga Dira ya Taifa, SISI Watanzania tunataka taifa la aina gani?. (hizi dira kule kwenye mchakato huu uliopo, wameziita "Tunu za Taifa" sijaweza kujua ni kina nani, walikaa wapi, wakazitunga hizo tunu za taifa!?. Kutokana na umasikini wetu, hatukuweza kuitisha "National Convention" kuweka dira ya taifa hivyo tukauanza mchakato wa katiba bila kujua tunataka nini?!, baada ya kupewa hiki tulichopewa, ndipo wanakuja watu sasa kudai oh, tulitaka hiki, tulitaka kile etc!. Hapa lazima tupokee chochote tunahopewa kwa sababu hayo ni matokea tuu ya umasikini wetu!
  2. Opinion Poll ya Muungano na Muungano wa Aina Gani? Baada ya kupata dira ya kujua tunataka nini, kwa vile nchi yetu ni ya muungano, na muungano huo iliingiwa ki magumashi magumashi bila wananchi kuulizwa!, hatua ya pili ilikuwa ni kupigwa kura ya maoni, kuwauliza hawa Watanzania, jee tunautaka muungano?, tunataka muungano wa aina gani?, union?, federation?, wa mkataba?, association, etc!. Baada ya wananchi kuyajibu hayo ndipo process ya kukusanya maoni ya wananchi!. Hili halikufanyika kutokana umasikini, hatuna political will kuwauliza wananchi kama wanautaka muungano au la!, baada ya kuutaka ndipo wangeulizwa muungano wa aina gani?!. Hili pia halikufanyika kutokana na umasikini!
  3. Civic Education on Constitution-Huu ni utoaji wa elimu ya katiba kwa nchi nzima kuwaelimisha Watanzania kuhusu katiba, ili utakapowadia muda wa kutoa maoni yao kuhusu Katiba gani wanaitaka, watatoa maoni ya maana!. Hili halikufanyika kutoka na umasikini!. Tume iliundwa fasta fasta na kwenda kuwauliza mambumbumbu wa katiba kutoa maoni!.
  4. Tume ya Kukusanya Maoni-Baada ya wananchi kuelimika kuhusu katiba, ndipo wangeweza kwenda mbele ya tume na kutoa maoni yao!. na kisha tume hii kutoa rasimu ya katiba!. Angalau hii tume iliundwa! kwa umasikini tulio nao, sikujua hata fedha za tume hii zilitoka wapi?!
  5. Uchaguzi wa Wabunge wa Constituent Assembly-Wananchi walitakiwa wawachague wabunge wao wa constituent assembly, na kuwatuma kwenda kuwatengenezea katiba!. Process ya uchaguzi lengo lake ni kupata legitimacy from the people!. Wajumbe wote wa hili Bunge Maalum, hakuna yoyote mwenye legitimay from the people! Hakuna aliyetumwa na yoyote kwenda kututengenezea katiba!. Hili halikufanyika kutokana na umasikini, wa kushindwa kuitisha uchaguzi!
  6. Referendum ya Kupitisha Katiba-Hii ndio the last process, ya kuipigia kura katiba hiyo ili kuipatia peoples legitimacy. Hili litafanyika, japo kwa umasikini wetu, pia bado sijajua fedha za kuitisha referendum, zitatoka wapi?
Kufuatia baadhi ya process za msingi kuwa skipped kutokana na umasikini wetu uliotopea, hivyo tumeweka shortcuts nyingi, hiyo katiba itakayopatikana ni katiba ya shortcuts, ila pia kufuatia hotuba ya JK ya jana akizindua bunge hilo!

ameishatoa msimamo wa serikali mbili! Natoa wito tuungane kwa kauli moja kuipigia kura ya ndio katiba hiyo mpya ya serikali mbili kwa sababu pia by then, we'd have spent a hell out of our stinking poverty, tukipiga kura ya kuikataa all our money we've spent, will go down, the pit latrine!

Kwa maoni yangu, Katiba Mpya, itakuwa ni katiba ya serikali mbili lakini kufuatia we Tanzanians are too poor to say no to katiba mpya!, simply because we just can't afford kutengeneza proper katiba! Hivyo ni umasikini wetu ndio umehalalisha all these shortcuts, hata wale waliotaka serikali tatu!, wasihamasishe katiba hiyo ikataliwe, nawashauri tukubali yaishe, kwa sababu the consequences ya kuikataa ni worse than kuikubali!, haswa bearing in mind umasikini wetu huu! Beggars can not be choosers! as beggars as we are!, we have no choice except to say Yes kwa katiba mpya ya serikali mbili simply because we are too poor to say no!

Je, wewe unaonaje?

Pasco.
 
Awali ulikuwa unaukubali huu mchakato wa kiimla,baada ya kambi ya MAMVI Chenge kutoswa uenyekiti nawe umeona haufai.Pasco acha siasa na uchambuzi wa bora tukose wote.
 
Paco ulipogeuka mchumia tumbo ulipoteza hata sifa ya kuwa mwana JF GT. Uko tu kama akina Ifwero na wenzake . Wewe na CCM yako ndiyo tatizo .
 
Ya warioba ni maoni ya wananch ya mwenyekiti wa chama ni maoni ya nani? Wako pale kujadili maoni ya wananch....ameagiza kama wataona kitu hakijakaa sawa kifutwe kitafutwa vipi bila kuomba ridhaa ya waliokisema paco kama unajua sisi ni masikini kwa nini hukusema hakuna haja ya katiba mpya kwasababu sisi ni masikini? Nilichokiona toka kwako ni kuipigia debe katiba ya ccm ambayo inataka serikalitmbili na si ya wananch yenye kutaka serikali tatu......
 
Mkuu Gwankaja Gwakilingo, mimi ni realist, sio idealist!, baada ya ile hotuba ya JK ya jana, Katiba ni ya serikali mbili!, sipigii debe kitu bali nauzungumza ukweli mtupu uliopo, we are just too poor to say no!.
Pasco
 
Watanzania siyo maskini hata kidogo! Tumebebeshwa zigo na Tanesco la kulipa zaidi ya Mabilioni kadhaa kwa mwezi hadi tufe kwa makampuni yanayozalisha umeme (capacity charges) na hatujashindwa hadi sasa! Pesa ipo nyingi hadi nyingine tumewekeza Uswis na kwingineko.
 
Paco ulipogeuka mchumia tumbo ulipoteza hata sifa ya kuwa mwana JF GT. Uko tu kama akina Ifwero na wenzake . Wewe na CCM yako ndiyo tatizo .

Mkuu Lunyungu labda tujaribu kidogo kuwa objective. Unajua ndugu yetu Pasco mara nyingi anapenda kuuzunguka mbuyu kuliko kujaribu kuukumbatia. Kwangu mimi namsadia kuukumbatia, haya "maneno umaskini" wetu
nayapa mbadala, ni "upumbavu wetu".

Ukimsoma kwa jicho la tatu ni kuwa tumekosea tangu mwanzoni kabisa. Kulalamikia mchakato ulipofikia sasa ni too late. Kwa namna tulivyo_structure utaratibu wa kupata katiba yetu mpya, pasipo kujitambua tumeweka mwanya mkubwa wa kutekwa na kundi/kikundi fulani, ndicho kinachoendelea hapa. Fursa ya kupata a peoples' centred constitution imepotea hapa so tusubiri tu fursa nyingine, no body knows exactly ni baada ya muda gani.
 
Last edited by a moderator:
Paco ulipogeuka mchumia tumbo ulipoteza hata sifa ya kuwa mwana JF GT. Uko tu kama akina Ifwero na wenzake . Wewe na CCM yako ndiyo tatizo .
Mkuu Lunyungu, kiukweli ninapoitwa mchumia tumbo na watoto wadogo hawa wa juzi, hainiumizi!, lakini kuitwa mchumia tumbo na mtu senior wa level yako, kunaniumiza!. Mimi sina chama!, huku kuniita mimi na CCM yangu pia kunaniumiza!.

Tatizo langu ni kuwa mkweli kupindukia!, japo sina chama, ila najua fika 2015 ni CCM tena!, wapenda ukweli, hili wanalijua!.

Na kweli hili la katiba, baada ya hotuba ya jana ya JK, Katiba ni ya serikali mbili!, tuikubali, tuipigie kura ya ndio tuipitishe,
kutokana na umasikini wetu!, we are too poor to afford proper katiba!. We don't have choice but just to say yes!!,
U CCM wangu hapa uko wapi?!.

Au inawezekana bado unahasira na mimi kuhusu makosa yenu ya mwanzo, niliyaeleza hapa?!
[h=3]Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele[/h]Pasco
 
Mkuu Gwankaja Gwakilingo, mimi ni realist, sio idealist!, baada ya ile hotuba ya JK ya jana, Katiba ni ya serikali mbili!, sipigii debe kitu bali nauzungumza ukweli mtupu uliopo, we are just too poor to say no!.
Pasco
nimekupata comrade paco "we are too poor to say no "nimeondoka na hilo kwenye parandes kutoka kwako....lakin sasa tumepewa kupiga penalt tufanyaje sasa na ndo ivo tena we are too poor to say no
 
Mimi niliona huu mchakato toka mwanzo kama ni kiini macho,kwanza kuwaingiza wabunge wote kwenye bunge la katiba(Wabunge wengi ni CCM) na pili hilo kundi la ''Wala pilau''201,wengi wao hawajui ni kitu gani kiliwapeleka Dodoma na wengi ni makada wa CCM,pia nailaumu kamati ya Warioba,kwa kurusu jambo muhimu kama la upigaji kura kuliacha hewani likielewa na sijui kwanini walicha kuandika kuwa kuwa kama ilivyo kawaida kura ni kura ya siri.Mwisho ni kuwa CCM wantumia bunge la katiba kuhararisha mambo yasiyo na utashi na wananchi.
 
Mkuu Mfianchi, "bora katiba" inatinga mjengoni kesho kutwa asubihi, kama wewe ni mfia nchi kweli, jitokeze sasa kwenye hayo maandamano ya kuifia nchi yako.

Pasco
 
Wanabodi,

When you are poor, you are just poor!, nikimaanisha ukiwa maskini, wewe ni maskini tuu, unaweza kujikuta unaishi kwa unyonge kutokana na hali yako ya umasikini!. Lakini ukijikubali kuwa wewe ni masikini, na ukaukubali huo umasikini wako kuwa ndio reality ya maisha yako!, utaanza kuishi kwa furaha ndani ya umasikini wako!.

Hivi ndiyo ulivyo huu mchakato wa katiba, process nzima tangu mwanzo hadi sasa na hadi hapo itakapopatikana hiyo katiba mpya ya serikali mbili, ni process inayofanyika hivi kutokana na umasikini wetu!, hivyo natoa wito wito kwa Watanzania wote, kwanza tujikubali sisi ni masikini wa kutupwa!, pili tukubali kuwa mchakato huu unaendeshwa hivi unavyoendeshwa kutokana na umasikini wetu, hivyp tuukubali mchakato huu hivi hivi jinsi ulivyo, na matokeo yake ya serikali mbili, kufuatia ule msemo wa mwenye kisu kikali ndie atakula nyama!.

Nimesema mchakato wetu huu, unaendeshwa hivi unavyoendeshwa kutokana na umasikini kwa sababu uundaji katiba ni a defined process, na hupitia hatua mbalimbali kama ifuatavyo.

  1. National Convention-Huu ni mkutano mkuu wa taifa unaowajumuisha wawakilishi wa kila sekta, unaweza kuwa na wajumbe 100,000 kutoka kila sekta kila kona, kwa lengo la kupanga Dira ya Taifa, SISI Watanzania tunataka taifa la aina gani?. (hizi dira kule kwenye mchakato huu uliopo, wameziita "Tunu za Taifa" sijaweza kujua ni kina nani, walikaa wapi, wakazitunga hizo tunu za taifa!?. Kutokana na umasikini wetu, hatukuweza kuitisha "National Convention" kuweka dira ya taifa hivyo tukauanza mchakato wa katiba bila kujua tunataka nini?!, baada ya kupewa hiki tulichopewa, ndipo wanakuja watu sasa kudai oh, tulitaka hiki, tulitaka kile etc!. Hapa lazima tupokee chochote tunahopewa kwa sababu hayo ni matokea tuu ya umasikini wetu!.
  2. Opinion Poll ya Muungano na Muungano wa Aina Gani?. Baada ya kupata dira ya kujua tunataka nini, kwa vile nchi yetu ni ya muungano, na muungano huo iliingiwa ki magumashi magumashi bila wananchi kuulizwa!, hatua ya pili ilikuwa ni kupigwa kura ya maoni, kuwauliza hawa Watanzania, jee tunautaka muungano?, tunataka muungano wa aina gani?, union?, federation?, wa mkataba?, association, etc!. Baada ya wananchi kuyajibu hayo ndipo process ya kukusanya maoni ya wananchi!. Hili halikufanyika kutokana umasikini, hatuna political will kuwauliza wananchi kama wanautaka muungano au la!, baada ya kuutaka ndipo wangeulizwa muungano wa aina gani?!. Hili pia halikufanyika kutokana na umasikini!.
  3. Civic Education on Constitution-Huu ni utoaji wa elimu ya katiba kwa nchi nzima kuwaelimisha Watanzania kuhusu katiba, ili utakapowadia muda wa kutoa maoni yao kuhusu Katiba gani wanaitaka, watatoa maoni ya maana!. Hili halikufanyika kutoka na umasikini!. Tume iliundwa fasta fasta na kwenda kuwauliza mambumbumbu wa katiba kutoa maoni!.
  4. Tume ya Kukusanya Maoni-Baada ya wananchi kuelimika kuhusu katiba, ndipo wangeweza kwenda mbele ya tume na kutoa maoni yao!. na kisha tume hii kutoa rasimu ya katiba!. Angalau hii tume iliundwa!, kwa umasikini tulio nao, sikujua hata fedha za tume hii zilitoka wapi?!.
  5. Uchaguzi wa Wabunge wa Constituent Assembly-Wananchi walitakiwa wawachague wabunge wao wa constituent assembly, na kuwatuma kwenda kuwatengenezea katiba!. Process ya uchaguzi lengo lake ni kupata legitimacy from the people!. Wajumbe wote wa hili Bunge Maalum, hakuna yoyote mwenye legitimay from the people!. Hakuna aliyetumwa na yoyote kwenda kututengenezea katiba!. Hili halikufanyika kutokana na umasikini, wa kushindwa kuitisha uchaguzi!.
  6. Referendum ya Kupitisha Katiba-Hii ndio the last process, ya kuipigia kura katiba hiyo ili kuipatia peoples legitimacy. Hili litafanyika, japo kwa umasikini wetu, pia bado sijajua fedha za kuitisha referendum, zitatoka wapi?!.
Kufuatia baadhi ya process za msingi kuwa skipped kutokana na umasikini wetu uliotopea, hivyo tumeweka shortcuts nyingi, hiyo katiba itakayopatikana ni katiba ya shortcuts, ila pia kufuatia hotuba ya JK ya jana akizindua bunge hilo!,
ameishatoa msimamo wa serikali mbili!. Natoa wito tuungane kwa kauli moja kuipigia kura ya ndio katiba hiyo mpya ya serikali mbili kwa sababu pia by then, we'd have spent a hell out of our stinking poverty, tukipiga kura ya kuikataa all our money we've spent, will go down, the pit latrine!.

Kwa maoni yangu, Katiba Mpya, itakuwa ni katiba ya serikali mbili!, lakini kufuatia we Tanzanians are too poor to say no to katiba mpya!, simply because we just can't afford kutengeneza proper katiba!. Hivyo ni umasikini wetu ndio umehalalisha all these shortcuts, hata wale waliotaka serikali tatu!, wasihamasishe katiba hiyo ikataliwe, nawashauri tukubali yaishe, kwa sababu the consequences ya kuikataa ni worse than kuikubali!, haswa bearing in mind umasikini wetu huu!. Beggars can not be choosers!, as beggars as we are!, we have no choice except to say Yes kwa katiba mpya ya serikali mbili simply because we are too poor to say no!.

Jee wewe unaonaje?!.
Pasco.
Wakati Zoezi la kupiga kura likiendelea, najikumbusha kidogo baadhi ya hoja za msingi kuhusu katiba!.

Pasco
 
Serikali haina pesa?, ss ni maskin? Tukubali umaskin wetu tupigie kura? Cjakufaham bado tuoneshe ni kivp serikal haina hela, kwamba wabunge wamejitolea BMK la ccm kutupatia bora katiba hawalipwi
 
Wajameni, Katiba Pendekezwa ndiyo hiyo imepita!, japo kura za ndio zimetosheshwa!, the end justify the means!, sasa tuikubali hii "Bora Katiba Mpya!", tuipigie kura ya Ndio!, tuendelee na maisha!.

Pasco
 
Wanabodi,

Kwa maoni yangu, Katiba Mpya, itakuwa ni katiba ya serikali mbili!, lakini kufuatia we Tanzanians are too poor to say no to katiba mpya!, simply because we just can't afford kutengeneza proper katiba!. Hivyo ni umasikini wetu ndio umehalalisha all these shortcuts, hata wale waliotaka serikali tatu!, wasihamasishe katiba hiyo ikataliwe, nawashauri tukubali yaishe, kwa sababu the consequences ya kuikataa ni worse than kuikubali!, haswa bearing in mind umasikini wetu huu!. Beggars can not be choosers!, as beggars as we are!, we have no choice except to say Yes kwa katiba mpya ya serikali mbili simply because we are too poor to say no!.

Jee wewe unaonaje?!.
Pasco.

Poor in what ?
Anagalia hizi rejea alafau jibu kaanayo usimwambie mtu!

CC. Kurugenzi ya Habari c/o UKAWA
 
Yanasemwa mengi kuhusu kutoendelea Kwa mchakato huu wa Katiba, mara "sio kipaumbele changu, mara sitengi bajeti, etc etc, kinacho kosekana jee ni lack of political will, au the bottom line is umasikini wetu?.
P.
 
Back
Top Bottom