Rais Samia Atoboa Siri ya Kumteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais Samia ‘atoboa siri’… aeleza sababu zilizomfanya amchague Dkt. Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu.

Ameyasema hayo wakati akizindua vifaa vya uchimbaji madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na wachimbaji wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete - Dodoma.

 
Tunapaswa kujfunza toka kwake lakini mzigo aliopewa awali ulikuwa haugusi wananchi walio wengi hivyo kipimo hakina balance.

Msimamo Kwa unachofanya ni muhimu sana na haswa ikiwa kina tija mbele yako, move on NWM WN mbele yaweza kuwa nyeupe zaidi kwako.
 
Kwa maana nyingine makamba alikua failure pale nishati ndio maana mama akaona amlete Biteko alete mabadiliko makubwa nishati.

Wale jamaa, makamba na Maharage walikua ni porojo tu, miaka 2 hakuna cha maana walichofanya nishati zaidi ya porojo, ngonjera na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
 
Acha tuone nishati hili jinamizi la Tanesco doto anaenda kulimaliza namna gani!!

Kwa kweli Tanesco wanakeraaa, wamekosa creativity kabisa,

Wameshindwa kutenga maeneo ya Umeme wa upepo, solar, gasi,

Wafanye mpango wa kutengeneza hata kinu cha nuclear, sijui wamelogwa!!

Doto nyoosha hizi binadamu kama hazitaki kwenda na wakati zikachunge mbuzi siyo kutesa watu,
 
Back
Top Bottom