Viongozi wa soka wa Dunia wangetalii mbuga zetu tusingesonesha utalii wetu

Right3

Senior Member
Aug 16, 2015
193
233
Nilifikiria kama nchi tungetumia uwepo wa viongozi wa soka wa Dunia kuwashawishi kutembelea mbuga zetu na kuwaomba kupost kwenye websites na page zao za mitandao ya kijamii.

Kwa hili naamini tungeweza kuufikisha mbali sana utalii wetu zaidi ya Royal Tour(nawaza tu).

Rais, TTB na wadau wengine mlitakiwa mfanye jambo na huu ugeni mkuu wa Soka, km mmefanya basi itapendeza.

Ni heri tungetumia kidogo ili tupate kingi mbeleni.

Ingekuwaje INFANTINO analisha twiga, Simba na wanyama wengineo.

Ingekua vipi Sir Wenger yuko ameketi na wanyama wakali ilaenda viral, isingesaidia wengine kuja kufanya hivyo.
Nawaza tu.
 
Unadhani ni rahisi hivyo? Hao watu wapo busy sana, may be walijaribu ila wameshindwa
 
Back
Top Bottom