Mbowe ni Makamu wa Rais wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Duniani, tumuombee Dr Tulia awe Spika wa Bunge la Dunia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Dr Tulia Mwansasu PhD akifanikiwa kuwa Spika/Rais wa Bunge la Dunia basi Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kwenye Siasa za Dunia

Tayari Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni namba 2 huko Duniani kwenye Umoja wa Vyama vya Demokrasia

Mungu wa Mbinguni mfanyie Wepesi Dr Tulia PhD

Nawatakia Sabato Njema

Mlale Unono 😀😀
 
Mlale Unono
Wapi!! Malaika Gabrieli hawezi kupimwa pamoja na Lusufelo
 
Dr Tulia Mwansasu PhD akifanikiwa kuwa Spika/Rais wa Bunge la Dunia basi Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kwenye Siasa za Dunia

Tayari Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni namba 2 huko Duniani kwenye Umoja wa Vyama vya Demokrasia

Mungu wa Mbinguni mfanyie Wepesi Dr Tulia PhD

Nawatakia Sabato Njema

Mlale Unono 😀😀
Uspika hapa bongo unamsumbua, leo unamuombea awe Spika wa Bunge la Dunia?
 
Dr Tulia Mwansasu PhD akifanikiwa kuwa Spika/Rais wa Bunge la Dunia basi Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kwenye Siasa za Dunia

Tayari Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni namba 2 huko Duniani kwenye Umoja wa Vyama vya Demokrasia

Mungu wa Mbinguni mfanyie Wepesi Dr Tulia PhD

Nawatakia Sabato Njema

Mlale Unono 😀😀
Kwani Bunge letu ndiyo anaweza kuliendesha?
 
Dr Tulia Mwansasu PhD akifanikiwa kuwa Spika/Rais wa Bunge la Dunia basi Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kwenye Siasa za Dunia

Tayari Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni namba 2 huko Duniani kwenye Umoja wa Vyama vya Demokrasia

Mungu wa Mbinguni mfanyie Wepesi Dr Tulia PhD

Nawatakia Sabato Njema

Mlale Unono 😀😀
Mbowe hajawahi kupata uongozi kwa Kutembea na Majeneza
 
Dr Tulia Mwansasu PhD akifanikiwa kuwa Spika/Rais wa Bunge la Dunia basi Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kwenye Siasa za Dunia

Tayari Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni namba 2 huko Duniani kwenye Umoja wa Vyama vya Demokrasia

Mungu wa Mbinguni mfanyie Wepesi Dr Tulia PhD

Nawatakia Sabato Njema

Mlale Unono 😀😀
Hakuna Bunge la Dunia,
Kuna Umoja wa Mabunge Duniani,
Kindly tumia vyema akili na elimu yako.
 
Ni Punguwani tu ndie atakaemuombea Spika wa Rubber stamp Parliament.
 
Dr Tulia Mwansasu PhD akifanikiwa kuwa Spika/Rais wa Bunge la Dunia basi Tanzania tutapiga hatua kubwa sana kwenye Siasa za Dunia

Tayari Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni namba 2 huko Duniani kwenye Umoja wa Vyama vya Demokrasia

Mungu wa Mbinguni mfanyie Wepesi Dr Tulia PhD

Nawatakia Sabato Njema

Mlale Unono 😀😀
Unataka tupate aibu kimataifa?
Nitamuombea je msaliti wa taifa?
 
Yule betina uspika wa hapa uswahilini umemshinda ndio apewe nafasi kubwa kama hiyo 🤔🤔 kule hakuna goli la mkono wanapewa nafasi watu wenye akili timamu
 
anayeweza kumbeza DR TULIA ni mtu mwenye upungufu wa akili tu maana ni spika mwenye maono ni spika anaye fit kwenye nafasi yake hivi mnafikiri ni kwenda kucheza kwenye uspika? punguzeni kufikiri kwa kutumia makalio
 
Suala la bandari na DP world nimempotezea sifa sana huyu mama.
Hafai na Hakuna Lini popote
 
anayeweza kumbeza DR TULIA ni mtu mwenye upungufu wa akili tu maana ni spika mwenye maono ni spika anaye fit kwenye nafasi yake hivi mnafikiri ni kwenda kucheza kwenye uspika? punguzeni kufikiri kwa kutumia makalio
 
Attachments

  • D24E276D-485F-4899-A75C-1063736F82B2.jpeg
    D24E276D-485F-4899-A75C-1063736F82B2.jpeg
    35.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom